Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told you retractable roof is added to make it more modern 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Jibu swali nyamwezi. You are comparing Arusha stadium na Mercedes Benz stadium. MB inajulikana iko na retractable roof. Why don't you want this one to be one the points of making a comparison?
 

1784193791243.png

1784193716773.png
 
Huo ni upotoshaji. DMDP 1 walijenga barabara nyingi sehemu zifuatqzo
1.Temeke hakuna sehemu iliowekwa lami DMDP 1 ndani ya Temeke ambayo ni makazi holela.
2.Mbagala Kuu vile vile zimewekwa lami kwenye mitaa rasmi.
3.Mwananyamala na Kijitonyama hakuna mtaa usio rassmi uliowekwa lami yote ni mitaa mikubwa.
4. Kinondoni bwawani hadi Victoria mitaa iliowekwa lami yote ni planned tena huku wameweka zege.
Tandale njia kuu iliowekwa lami ni ile inatoka Sinza hadi Magomeni,ingine inatoka Kijitonyama hadi Mabibo hizo zote ni njia rasmi.
Kutoka hizo njia rasmi hasa maeneo ya Tandale wamestretch few meters kuingia Uswazi hazifiki huko katikati.
5.Magomeni yote.Kqgera,Mburahati lami zimewekwa mitaa iliopimwa hakuna makazi holela lami imedikq
Alichofanya Magufuli hakulipa fidia na hakubomoa baadhi ya nyumba ambazo ziko karibu sana na barabara hivyo kuna maeneo lami inapita nje ya baadhi ya nyumba.
DMDP 2 inaendelea maeneo mengi mfano Kigamboni imenufaika sana kuliko wakati wowote. Ila tu speed ya DMDP 2 ndio kidogo mwendo wa kinyonga.
Yote nayajua hayo,sikutaka tu mambo yawe mengi,ndio maana nikamjibu vile
 
Bro, mnajiabisha.
Mercedes Benz stadium is a curved Bowl with a flat top stadium - just like Talanta. Arusha stadium is a curved Bowl with a curved top stadium.
MB doesn't have a running track like Talanta, Arusha has a running track.
MB has a retractable roof, Arusha doesn't.
The two are so different it's stupid to compare them. In fact Talanta is closer to Mercedes Benz stadium than Arusha.
Kibera walker uwe hata na aibu basi,yan lile bakuli lenu ulifananishe na mercedes
Screenshot_20260620-120930.png
Screenshot_20260620-121104.png
 
Tanzanians upper middle class building their own homes with state of the art ultra modern high pitched roof designs... View attachment 3630157View attachment 3630158View attachment 3630159ordinary kenyans mostly from the diaspora building their own homes...the planning alone tells alot from this two countries...I'll let you be the judge...
*This is not Nairobi but part of rural kitengela... View attachment 3630160View attachment 3630161View attachment 3630162View attachment 3630163
Nyumba za maskini wa kundudweller na nyumba za maskini wa TZ,maku umeona tofauti yetu na nyie
PXL_20251221_140653433.jpg
20260712_123937.jpg
 
Kibera walker uwe hata na aibu basi,yan lile bakuli lenu ulifananishe na mercedesView attachment 3630182View attachment 3630183
Do you know what a curved Bowl stadium is Mganga na Umbwa?
Do you know what a curved Bowl and flat top stadium is?
Do you know what a curved Bowl and curved top stadium is Mganga na Umbwa?

Go and learn those things and come back. I don't engage uninformed Mofos. Make Google your friend and thank me later for serving you this knowledge.
 
Back
Top Bottom