Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipindi cha magu mradi wa DMP ndio ulitengeneza zile barabara za buza,kiwalani,jet,temeke,mbagala yote,hadi lile daraja linalounganisha buza na mbagala,ilikua project ikiisha wilaya ya tmk na ilala uhamie ubungo na kinondoni,nakumbuka maeneo ya malamba mawili na kiluvya hadi watu walishaanza kulipwa pesa za kuhamishwa ili barabara zipite,hata ulipopotelea ule mradi,nakumbuka magu wakati anafungua stendi ya magufuli aliongelea hizo barabara pamoja na barabara ya kisarawe kutokea kiluvya na malamba mawili,alidai pesa ipo,hiyo bado,ile highway kimara to kibaha hata sielewi kama ndio ishaisha au bado 😃,mradi umeganda tu mwaka wa 5 huu
Huyu maza katupotezea sana muda kama tulivyopoteza kipindi cha Mkwere.
 

View: https://youtu.be/ngSsOKkCP-k

and this below 🤣 🤣 🤣 🤣
1784154995464.png


1784155050132.png
 
Huyu maza katupotezea sana muda kama tulivyopoteza kipindi cha Mkwere.
Mimi nina opinions tofauti kidogo mkuu.

JPM ni sawa alijenga barabara kwenye DMDP I, ni jambo jema lakini kwa mtazamo wangu jamaa alijenga barabara maeneo mingi kimakosa, hatukupaswa kujenga barabara za lami kwenye mitaa ambayo haijapangwa (Tandale, mbagala, mwananyamala, mabibo, manzese, maeneo mengi ya makumbusho n.k) ni kama kurasimisha ukuaji holela wa hayo makazi, badala yake angefaa kujenga barabara kwenye maeneo ambayo tayari yalishapangwa lakini yalikosa miondombinu ya barabara kama vile ilala, Magomeni, some streets of kinondoni, some streets temeke, Mikocheni, Mbezi beach and of course na Sinza.. kujenga barabara vichochoroni tena njia za makona kona (nyingine nyembamba mno) ni kurasimisha hayo maeneo ambayo kimsingi tunafaa kuyavunja yote na kuyapanga upya then yapate hizo barabara n.k.

DMDP II nimeshuhudia wanajenga hayo maeneo niliyoyataja hapo, ila yalisahauliwa au kuachwa kwenye DMDP 1.

Kwa barabara kubwa alizojenga jpm za kuunganisha jiji nasapoti ila hizi za ndani ya mitaa ya uswazi kiukweli kwangu mimi it’s a big NO. There’s is no way tunaweza kurasimisha uswazi in the city of Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom