You think barabara ndio kitu cha pekee lacking and needed in that place? What other supporting infrastructure ziko hapo?
Hiyo ushagoo iko hata na hoteli mita tano kutoka hapo? Restaurants je? What about hospitals? Leisure places je like recreational parks where fans can unwind before and/or after games? Na vipi kuhusu gyms? What other modes of transport are there apart from barabara za vumbi? Are there trains connecting to the stadium? Kama kama uwanja utapatia mashabiki and even players bad experience during AFCON basi ni hii maku yenu.
Alafu minyamwezi yamekazana kupost nyasi ya Talanta ambayo has all the above-mentioned supporting infrastructure. Desperation ni mbaya jameni 😂😂😂😂