Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

actually waliomba bomba juzi ruto alivokuja, najua wamekubali tu hadharani ila kihalisia tushasema hatuuzi gesi kokote wafuate mozambique kwa ships πŸ˜‚πŸ˜‚ na hatutaki kuona bomba lolote la gesi nchini kwetu πŸ˜‚
Class seven dropout talking like he sits in the Tanganyika cabinet 🀣🀣🀣
 
tulia hivo hivo uatelewa show vizuri soon kwenye skai pot, sema nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nahisi walijua kabisa majani hayawezi kuota huo upande mwingine wakalevel au unasemaje mwana etu
View attachment 3626583
Nielewe nini Nyamwezi zaidi ya nyimbo nyingi tumetumbuizwa nazo humu za Talanta haitajengwa mark my words na Kenya haitaandaa AFCON?

These are kicks of a dying horse. Mnashinda mkitaja Talanta 24/7 wakati hata barabara ya kuelekea kule msituni Samia ndio hakuna!

Achana na Talanta bongolala, shugulikeni mjenga angalau barabara hapa msiwe wajinga
 
This reminds me of "Talanta haitajengwa" Chronicles πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umekuja wakati muafaka.. haya toa tongo tongo mungiki πŸ‘‡πŸΎbarabara za njia nne. Zinajengwa kuzunguko huo uwanja.
 
BREAKING News… one of the longest world records ( 26 years ) gone … Just an hour ago Kenyan Noah Ngeny 26 yr old record smashed by another Kenyan … well done Wanyonyi … 800m record next on his sight…
 
Sawaaa... Within next six months construction itakuwa imemalizikaa... Na vijana Zaidi ya elfu 60 wa kunyaland watapata ajira hapo ya mjengo.
So now you are moving the goalposts to 6 month completion duration… Unatumia akili au ni anger issues uko nazo β€¦πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwan AFCON mmeshaandaaa? and infact kwan hio AFCON si mnaandaa because we wanted kwan mna qualifications zozote? πŸ˜‚ πŸ˜‚ si atleast ata uwe thankfull cecafa president did something to save you, alafu hio barabara si tushaleta video apa ujenzi ukiendelea but your still stuck na old pics πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BTW mbna sjaskia tena zile kicks za horse wa kike kuhusu sky pot?πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahio wewe uliona kama una akili kuliko sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…