😂😂Dereva wa Bajaj wa kuandikwa atoe gari wapi? 😂😂
Hiyo hybrid imeandikwa kwenye karatasi ndo wanatembea humo, kila wanachosema wana refer makaratasi na sio uhalisia, kabla haijajengwa talanta hata mm niliamini ungekuwa world class stadium, zen baadae wakabadili design, baada ya kuuona huu nikasema jirani kwisha habari yake.talanta doesnt have hybrid grass kwan we fala hujaona kabisa uwanja una vipara kila kona
Ndo nn sasa, nimeamini ndiyo mana wakenya mabalaa hayaishi huko kwenu, hamna heshima hata kdg, kuanzia mtoto mpk mzee kama wewe ni mwendo wa matusi tu.
In fact it has nothing to do with the exterior or form of the structure. Niliwaambia huyo ni mtu illiterate. Nishamweka ignore list mimi. Sitaki ujinga.Structural haimanishi exterior cladding of the building pekee. Elimu yako imefika wapi lakini? Cause it seems you are not educated at all.
Hahahahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ata ukasirike, ninachokuambia jiheshimu mzee.
🤣 🤣 🤣Unajua kusoma kweli? Ama unachukua Tu screenshots na kuzileta huku. Soma the second alafu urudi msituni kwa baboons wenzako.
View attachment 3625724
Jamaa washamba sn, yn ukiwaambia ukweli wanalia, sasa kuna jamaa hapo anaitwa NairobiWalker anaonekana ni mtu mzima lkn matusi mtindo mmoja, nmemwambia ukweli kanuna.Kichapo kikiwazidia wanahamia kushambulia mtu binafsi. 🤣🤣🤣 kwako wanaingiaga period.?
Huyo ni zuzu kabisa. 🤣🤣 zoea huyo fala tuponae humu miaka inakatika tu na uzuzu wake hivyo hivyo.Jamaa washamba sn, yn ukiwaambia ukweli wanalia, sasa kuna jamaa hapo anaitwa NairobiWalker anaonekana ni mtu mzima lkn matusi mtindo mmoja, nmemwambia ukweli kanuna.
Which car do you drive ching chong?
uku hatubahatishi mzee, sio kule majengo yana vumbikweli?
Hawa jamaa ni wapumbavu. Sasa LED kuweka kwenye boundary za jukwaa ndio imekuwa new technology?Wakenya kumbe ni washamba sana aisee sikuwa najua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasema LED sio new technology na hawana. Vumbistanis yawa. 🤣 🤣Kweli wewe ni mjinga, hapo ni kwa stands? Unatuonyesha pitch side LED Board which every stadium have😂😂🤣
We are asking for things like this 👇👇
View attachment 3625556
sasa ukitoa Amahoro uwanja gan mwingine ulikua na LED?Wanasema LED sio new technology na hawana. Vumbistanis yawa. 🤣 🤣