babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,458
- 36,110
Unadhani nahitaji hizo point zako!The point once again successfully missed you.. let me break it down for you, Cruticize actual things on the ground wachana na AI, kapish?
I am sure you have been watching the World Cup and you must have noticed the only stadium in East and Central Africa that come close to those American stadiums is Talanta .. perod!… whether is the lighting system, no running track and full roof coverage . No other stadium in this region qualifies. 🤪nliskia mlitumia $1.2B for the skybox 😂 😂 kwahio wageni mlisema wataruka ruka kuangalia mechi au sio 😂
View attachment 3624679
Come on Bro… nothing farther from the truth … do you know even realize yours ni mabati ya kawaida?…‼️Ukitoa roof, huu uwanja design yake kama Arusha stadium
View attachment 3624336
Wait till they finish the Jaguars stadium in Florida… now that will be so futuristic… currently under construction…Angalia viwanja vya marekani utaelewa kwamba Arusha ni the best than this, hv viwanja vimeshapitwa na wakati bro, siku hz viwanja vinatengenezwa unaweza kusema ni bank.
Ha ha ha it is!Ha ha ha.
Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
Uwanja wa Mercedes ni kama wa Arusha design ile ileUkitoa roof, huu uwanja design yake kama Arusha stadium
View attachment 3624336
Naona panya wote mmetoka kwenye mashimo.Come on Bro… nothing farther from the truth … do you know even realize yours ni mabati ya kawaida?…‼️
Hakuna pa kujitetea mzee, kama uwanja usio na running track unajengwa Fumba, kwahiyo kuhusu viwanja kubalini tu Tz imewapita mbali sanaa kaka.Wait till they finish the Jaguars stadium in Florida… now that will be so futuristic… currently under construction…
But I hope you notice just like Talanta , none of American stadiums have a running track..🤪🤪
Sawa kama hii inakupa relief 😮💨Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂View attachment 3624803
Kwani Mbona mnajistukia, sijasema kenya MimiStop the desperation. Waghana warakuua bure View attachment 3624736
That is like saying what if we remodernize Dar to be like New York in an argument where you're trying to claim that Dar is as developed as New York. What a dumb thing to say. 🤣 🤣 🤣Question,
What if we decide to re-modernize Benjamin Mkapa Stadium? The running tracks we add another 20k seats, then we re-do the exteriors and the roofing?
What capacity will it be ?
Remember, Currently Ben Mkapa is the most modern and the Largest Stadium in East and Central Africa with 65K sitting capacity,
Plus Tanzania is building modern stadia in Zanzibar, Arusha and Dodoma Simultaneously, Just for Afcon 2027.
Hapo ni juu ya lower deck, vipi mabati isn't the case anymore?Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂View attachment 3624803
😂😂😂 lazima uumie hadi unye. Hakuna bati la kawaida katika uwanja wa Arusha budaa.Come on Bro… nothing farther from the truth … do you know even realize yours ni mabati ya kawaida?…‼️