Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

walimlipa mbna pesa ya kutosha hakuondoka kinyonge
 
Mimi Toka wameua vijana mwaka Jana sinaga time na kuchangia huu Uzi
.acha wakenya washinde tu na maendeleo Yao.

Siwezi kuchangia na kujitapa maendeleo ya Tz huku Mtu anaua watu zaidi ya 1000 na anaabudiwa as if nothing happened.

I will come back. Siku akitoka na kuwajibika kwa aliyoyafanya.

Mwakani nawaombea Kenya uchaguzi mwema. Maana Madaraka yanawafanya baadhi ya waafrica kuwa wanyama kabisa.
Jambo la msingi ni kulinda uhai wako. Wakenya wala msiwacheke Watz. Kwenye uchaguzi wa kiafrica anything can happen hata kama mna katiba ya namna Gani.

We still have long way to go as Africans.
And I support you. Maandamano hayataishaga kama bodaboda na hawking ndo main job opportunity kwenye nchi
 
Ipo sku utaelewa kwann Mwizi hua anapigwa vibaya, saaahv bado hujakua infact sehem zingine ni kuchoma tu, hujui uchungu wa watu waliopoteza biashara zao
 
Yes mate, after renovating the capacity increased, ni vile we don’t brag of small things like idadi ya viti. Childish
The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?
 
Hizi ni ndoto! Pesa Ndege sana hiyo!
With the pace of football itajengwa tu, na pia ukizingatia timu zenyewe zinazocheza CAF Ni 4 saahv we need more stadiums hizi hazitoshi, kule 17 wacheze baadae wanawake nao wacheze, ije ligi, ije cecafa ije CAF

Kwa mfnao moroco wana viwanja 8 vyeti cheti cha CAT4, we only have 2 na hata ivi vipya arusha na dodoma na fumba tunakua navyo 5 tu, while moroco has 8 alone and they are even hosting the world cup

Infact tungekua navyo 5 mapema basi AFCON nzima ingepigika tz peke yake, unaona kuna yale mashindano ya All African Games tumeweka Bid basi inachezwa yote bongo viwanja vikiwa vingi
 
The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?
but we arent done, so apa tunapiga vp mbugi πŸ˜‚
 
na kesi walipeleka kortini ila bado mzee alishinda
Ukoo wa Kenyata ndio unaomiliki Kenya, Imagine the grandpa’s land grabbing legacy outplays the living in such statutory lawsuits haha, Familia ya Kwnyata ndio miongoni mwa Familia tajiri zaidi Africa.
Kwani unadhani nchi inaitwa kwa jina lake kwa Bahati mbaya , Kenya ni shamba la Kenyata ,
Ndio maana Tangu nchi imepata uhuru wa mchongo (Kenya bado ni koloni la Mwingereza, na marakani),
Nchi inaongozwa na makabila Mawili tu,
Gikuyu and Kalenjini. Huwezi kuwa rais kenya kama sio Mkikuyu au Mkalenjini.
Haya makabila mengine wakiwemo those silly Luos ni wapiga kelele na maandamano
 
The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?
do you know the pain of watching a match ukiwa unaruka ruka πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ its funny a country is named after a person, no other country has ever done so
 
The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?
umesema ni $1.2B? au πŸ˜‚ what if mashabiki wakikaa apo mbele alafu hawana afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…