Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,050
- 5,426
Tunawaelewa wapumbavu wanaotuelezea habari za gorofa. 😂😂😂 ni wivu na chuki.😂Washukuru sana serikali yao iliwajengea zile mitungi tatu of which are still empty and many it's spaces are still unoccupied to date...otherwise without those three towers he thread inafaa ingekua Dar vs Eldoret.
Those are some beautiful towers👌🙌...Saa hii Kenya the it's just " Construction has officially began in every corner".
This tower will be 35 floors, 140 meters high. Hii ikipelekwa Tanzania itakuwa the tallest building there.
View: https://x.com/i/status/2072564906512040154
Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.There you go again with the glass buildings crap...Nairobi keeps on groundbreaking new buildings almost every day,inasonga ikisonga na nyinyi bado mko hapo mnakwama na kusema glass buildings
😂😂😂Hamna kitu...dar iko Tu vilevile..picha zote NI hapo posta tu kwa hizo twin towers mbili na TPA😂Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
Ok😂😂😂Hamna kitu...dar iko Tu vilevile..picha zote NI hapo posta tu kwa hizo twin towers mbili na TPA😂
😂😂😂inakubalika kuumia pole pole bila kuturushia makamasi ... halafu haikosi ni wwe ndio ulikua una swing na wire za stima ukasababisha black out nchi nzima...Tunawaelewa wapumbavu wanaotuelezea habari za gorofa. 😂😂😂 ni wivu na chuki.
Yule watchman President of China atasema sio za blue. 😂
mbna kama unataka kuliaZiko wapi?usiniletee kina mzizima cz hizo ndio zilikua pamoja na kina lemac.in short hamna kabisa dar..you are dormant,nothing is going on .na infact mnafaa mshukuru your government kuwajengea hizo kina TPA ..your private sector NI kama haiexist...Kenya ziko countless zenye zinaendelea Bana...
inaonekana unaijua dar kuliko wanaokaa dar wenyeweHawana hata moja wakati Westlands alone has more than 20 projects
Dar Vumbi ikitangazwa jengo 15+ floors, inawekwa BREAKING NEWS hapa.Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
relax lady, utajinyonga sasa😂Washukuru sana serikali yao iliwajengea zile mitungi tatu of which are still empty and many it's spaces are still unoccupied to date...otherwise without those three towers he thread inafaa ingekua Dar vs Eldoret.
what elseDar Vumbi ikitangazwa jengo 15+ floors, inawekwa BREAKING NEWS hapa.
Umeandaa candle lakini?😂😂😂inakubalika kuumia pole pole bila kuturushia makamasi ... halafu haikosi ni wwe ndio ulikua una swing na wire za stima ukasababisha black out nchi nzima...View attachment 3620710View attachment 3620706View attachment 3620712
Hapa kazi tu,
It shows how a backward city dar vumbi is.
Very local fishing village.
Every international city has a China town. Bongolala bongobure huwezi elewa hii.
subiria iishe upost for now this is what you have
but your posting renders and not the actual building, subiria zikamilike ndo utupostie
What else can they do hawana glass building mpaka leoHivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
au sio mwana etu, are you aware hizo hata soi the tallest, infact the tallest haipo apo😂😂😂Hamna kitu...dar iko Tu vilevile..picha zote NI hapo posta tu kwa hizo twin towers mbili na TPA😂