Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb zilete Nyamwezi
Scroll kwenye convo za around last year may apo. We had that discusion kwa upana sana

You might as well use AI to save time. No one wants to discuss kitu tushakiongea na kishaisha
 
I knew you got nothing under your sleeves nyamwezi. Kelele bila tija!
 
Where do you get your data?

I knew you got nothing under your sleeves nyamwezi. Kelele bila tija!
I even remember kuna mtu sjui alisema.kama utan ila alisema kuna sections nairobi you get a free floor ukichukua sjui half of it, kitu kama icho
 
Kwani affordable housing sio buildings? Ama did the word buildings change its meaning?
Hawa watu ni way kushangaza. Tukipost high end apartments wanasema tunajengea matajiri wakati Mkenya was kawaida anaumia. Tukiwaonyesha affordable housing wanasema tunajengea cheap apartments. Interestingly Kenya sahii tunajengwa apartments za kila Aina. Ukitaka za matajiri utapata, ukitaka za mtu Wa kawaida utapata.
 
Shida ni hujaenda shule, ulichoelezewa ni value ya real estate zenu zote, tanzania has more modern buildings and glass, nyie mnajenga zile za kurushia zege umemaliza ndo maaana ripoti ikitoka dar real estate is way ahead of kenya unalia
 
There you go again with the glass buildings crap...Nairobi keeps on groundbreaking new buildings almost every day,inasonga ikisonga na nyinyi bado mko hapo mnakwama na kusema glass buildings
 
what you are groundbreaking is toilets standard if you want to match what other countries are doing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…