President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,987
- 93,329
Tupo kwenye ujenzi. Baada ya ujenzi uje
Tupo kwenye ujenzi. Baada ya ujenzi uje
Picha za 2016. Asante kwa TBT
Ujenzi unaofanyika kwenye ndoto zako sivyo? 🤣🤣Tupo kwenye ujenzi. Baada ya ujenzi uje
Ni za 1956 actuallyPicha za 2016. Asante kwa TBT
Siyo kweli, Tanzania siyo Kenya inayotoa ahadi za uongoUjenzi unaofanyika kwenye ndoto zako sivyo? 🤣🤣
Uko heri kuleta picha za nyasi za Talanta mara mia kwa siku hapa lakini kuleta picha hata moja ya "ujenzi" wa barabara kuelekea maku stadium is where you draw the line 😄 😄 😄Siyo kweli, Tanzania siyo Kenya inayotoa ahadi za uongo
Ni mtu mjinga pekee mwenye mawazo kama yako. Hizi picha zimepigwa jana ujenzi unaendeleaUko heri kuleta picha za nyasi za Tandale mara mia kwa siku hapa lakini kuleta picha hata moja ya "ujenzi" wa barabara kuelekea maku stadium is where you draw the line 😄 😄 😄
Very delusional people!
Hata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.To be honest hapa nawapa kongole mungiki,hii cloverleaf interchange ni kibabe sana
wa unajua kuiba ni nn au unaiskia tu? na hatua gan wamepiga tunakuskilizaHata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.
Hatuna cha kujifunza toka Kenya. Labda wewe binafsi, lakini siyo nchi.Hata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.
basi nenda kajifunze sisi tuache apa apaHata saa mbovu mara moja kwa siku inakuwa sawa. Kuna vitu wakenya wamepqtia na inabidi tujifunze. Honestly kuanzia 2021 wamepiga hatua na sisi hatujui hata tunataka nini. Watu wako busy kuiba tu.
That's a 70-km road from Mbauda to Losinyai and directly lead to Samia stadiumNi mtu mjinga pekee mwenye mawazo kama yako. Hizi picha zimepigwa jana ujenzi unaendelea
View attachment 3618513
View attachment 3618515
View attachment 3618516