Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo hapo sio Tandale?
Mdogo wangu unapenda sana kuandika ubishani wa maneno kwenye social media. Tanzania tunashindana na china kwa sasa. Je, lini mtakuwa na chuma kama hii?

1782470114676.png
 
Uñasumbuliwa akili na nyasi ya Talanta that will grow in the fullness of time wakati barabara ya kuelekea sir.mia stadium ni vumbi na matope! This is what you should be worried about bongolala View attachment 3616153View attachment 3616156View attachment 3616157
sasa tukujibu vp maaana tushaweka video apa ujenzi wa barabara ukiendelea, however nashindwa kuelewa vumbi jekundu limetoka wap na nje mmeweka zile bricks, yaani apa fifa president lazima awe mwekundu

1782471351909.png
 
life outside the filters, someone somewhere gave this village a city status, tunshindwa kuelewa
1782471983048.png
 
Back
Top Bottom