its true, however kibera ni kubwa ila kuna sehem hizo huezi amini zipoBut Kibera kaka ni moto wa kuotea mbali. Inaziburuza Slums zote duniani, Kibera ipo katikati ya jiji la Nairobi
apa kilichobaki ni Maombi tu wale mashabiki wasipate pneumoniaHivi viti vya Talanta ni vya rangi gani? mbona havieleweki?
Kigoma airport
View: https://youtu.be/6mjCJfhAqSc?si=rQUaWmWIm5myq4Fm
MY TAKE
Hii si level ya Kisumu international airport? Au mnasemaje?
Teargass IamLee NairobiWalker Nicxie nairobae n mwathadan
Uñasumbuliwa akili na nyasi ya Talanta that will grow in the fullness of time wakati barabara ya kuelekea sir.mia stadium ni vumbi na matope! This is what you should be worried about bongolalaeti IamLee kuna shida gan apo nyasi hazikui
View attachment 3615810
na mnavopenda filters sasa 😂 😂 na ni mara ya 2 wanarudia kupanda
View attachment 3615812
ka-bridge midget!Guess location View attachment 3616082
Hii itakuwa ni shangaziye ama mama wa kambo?Ukituonesha Kibera ndio tutashituka. Hizo Mukuru na Huruma Slums ni cha mtoto kwa Kibera
Leta video ya dakika 4 ya huu mtaa ili tuone kama hujala Githeri.
Picha za 2014
Picha za 2014 hizo, kila mtu anajua
Nimekula mihogoLeta video ya dakika 4 ya huu mtaa ili tuone kama hujala Githeri.
Mbona hiyo ni karibu. Actually ni za 1930 🤣🤣🤣Picha za 2014 hizo, kila mtu anajua
If there's a place that needs prayers it's this one hereStage iliofikia only prayers can save those grass maaana maji yote yashatumika
Low Qualitty Camera. Umeitoa wapi hiyo picha?Mbona hiyo ni karibu. Actually ni za 1930 🤣🤣🤣
TandaleLow Qualitty Camera. Umeitoa wapi hiyo picha?