President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,987
- 93,338
Haya sasa British Bulldogs, mnaona mambo ya Tanzania?
Hebu tuonyeshe hizo potholes kwenye runway ya Wilson airport MethuselahUnataka kuona uharo! Imagine Tanzania ina viwanja vikubwa kama Dodoma, Mbeya, Tabora, Shinyanga, Sumbawanga, Arusha, Pemba, Iringa na Songea hatuviiti international! Pale Ukunduni kukiwa na jengo tu kitu huitwa internatiinal!
Pale Nairobi kuna uwanja unaitwa Wilsom hauna laggage band wanatumia toroli na kila siku unasababisha accident runway ina mashimo n yet tunatambiwa kila siku!
And that's just South C/Mombasa road area. Kule Dar ukiitisha picha kama hizi outside CBD, Kariakoo, Upanga, na kijiko ya nyama, utasubiri sana. Mji ni uswazi kotokoteBiggest city in south of Sahara and north of river Limpopo.
View attachment 3612351View attachment 3612352View attachment 3612353View attachment 3612354
Huwezi ukapewa drone view photo ya Nairobi, sijaelewa kwanini.And that's just South C/Mombasa road area. Kule Dar ukiitisha picha kama hizi outside CBD, Kariakoo, Upanga, na kijiko ya nyama, utasubiri sana. Mji ni uswazi kotokote
Fuatilia thread kijana wa Tandale. Ni kilaza mwenzako alileta hiyo picha ya India akasena ni Nairobi.
Dharavi na Kibera ni mapacha. Au wewe haujui?Fuatilia thread kijana wa Tandale. Ni kilaza mwenzako alileta hiyo picha ya India akasena ni Nairobi.
Sifa za kijinga, ndio maana wakoloni mpaka leo wanaitawala Kenya
Stop dragging me into your ignorance Nyamwezi. Wewe kwa akili yako unadhani picha kama hii imechukuliwa na kifaa gani kama sio drone?Huwezi ukapewa drone view photo ya Nairobi, sijaelewa kwanini.
Hivi ndio wachawi huongea.Sifa za kijinga, ndio maana wakoloni mpaka leo wanaitawala Kenya
Hii ni oblique photo, Hujui vertical photo nikufundishe?Stop dragging me into your ignorance Nyamwezi. Wewe kwa akili yako unadhani picha kama hii imechukuliwa na kifafa gani kama sio drone?View attachment 3612839
I always ask myself questions, why do Kenyans worship white people?Hivi ndio wachawi huongea.
Correction: from the second its nairobi hower india are in their final chances to clear their slumsWorld”s Top 5 largest slums r in Nairobi!
We even forgot you didnt notice buildings fall downGetting hard to keep up with Nairobi' s changing skyline
Too many projects, New tall structures came up out of nowhere, i didn't even notice till now.
View attachment 3612797
View attachment 3612799
View attachment 3612801
Even kibera is sold out, so it makes senseFumba might look beautiful but it’s so cheap if it was in Kenya it would have sold out before construction. I checked the prices. I can get a house for $69,000…. 🤯🤯🤯..Yet there are still many homes available
Fumba’s equivalent in Kenya coast is Vipingo Ridge .. You would be lucky to get a plot for $69k… homes go as high as $1 million and guess what ?.. all sold out .. and a new phase coming up …entire development 80% Kenyan owned.
Another lesson on purchasing power of a nation..
Infact as we speak its closed because of the same reasonHebu tuonyeshe hizo potholes kwenye runway ya Wilson airport Methuselah
But there’s no difference between that and Kibera slum , the Largest slum in the continent.Fuatilia thread kijana wa Tandale. Ni kilaza mwenzako alileta hiyo picha ya India akasena ni Nairobi.
Ni kifaa gani hutumika kuchukua oblique photos?Hii ni oblique photo, Hujui vertical photo nikufundishe?