Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hampendi kuambiwa ukweli. But kila mtu anawajua tabia zenu, wala hamtusumbui
Sasa kati yangu na wewe nani hapendi kuambiwa ukweli!

Nimepost picha za Dar ukasema ni za 2008 wakati picha zenyewe zinaonyesha brt wazi kabisa. Nikikuuliza kama 2008 mlikuwa na brt Dar unakuja na povu!!! Alafu unaniambia sipendi ukweli Mitanganyika ni viumbe vya ajabu sana!
 
Sasa kama umechanganya picha za Dar za 2014 na 2008, unataka JF wakuone wewe hujitambui?
Nakusaidia tu, uwe mkweli achana na propaganda. Tanzania tuna post current photos za Kenya, wewe unatuletea TBT
 
Google Earth inamaanisha nini Nyamwezi?
Acha kuandika uongo andika vitu vya ukweli kama hivi:

1782059661510.png
 
I have now confirmed, all Kenyans are mentally ill from eating Mirungi, Sasa unataka Msalato International Airport ianze kupoeka ndege wakati bado inajengwa!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤲 🤲 🤲
Mbona unaiita 'international' na haijawahi pokea ata Chokoraa wa Tandale?
Were'nt you saying a moment ago that busy Kisumu Airport is not international, but this cattle dip in Msalani is supposed to be international? 😂😂
 
Unaendelea kuthibitisha kuwa Mirungi imekula akili zako zote. Kwa Standard za ICO kitu kinachosababisha Airport kuitwa Internationa ni equipments with the necessary facilities

Umekula kweli?
 
Back
Top Bottom