President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
Hizo unazoleta ni mbwembwe tu. Taarifa zimeshaonesha 81% wanakuja kwaajili ya Education 🤣 🤣 🤣 🤣Najua hata hujui maana ya survey, mdio maana unaokota tu any data to prove a point. Hii ni survey ya wiki mbili. Masaibu ya kuwachia shule class 4.
View attachment 3612527
Elimu ya Tanzania ni bora yani 81% ya wakenya wanakuja kusoma Tanzania.