Tanzania and Mozambique have the largest gas reserve more than world's largest producer QatarPwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?πππ Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
siwezi acha kuuliza ''pinako''.wacha pinnacle ndugu kwanza.
asante kwa kuleta kazi ya Mungu...haya leta jasho yenu watanzania sasaππππTanzania and Mozambique have the largest gas reserve more than world's largest producer Qatar
sasa ujenzi unamalizika 2019 mbona hasira?ππππPinnacle litakuwa ndilo jengo lenye urefu kabisa Afrika nzima...hilo lisikutie pressure broπππ nenda chooni kwanza utoe pressure angalau...vyuma vimekaza (in ichoboy's voice)πππsiwezi acha kuuliza ''pinako''.
mmekuwa mkitoa majigambo sana kuhusu pinnacle ilhali bado mnachimba shimo.ujenzi haujaanza. [emoji23] [emoji23]
iweje leo mtuzuie tusiulize...hapana tutawauliza mpaka mkereke.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
For your information Tanzania is the largest sisal producer in africa and in the worldPwahahahahahahahahaha ebu leta kitu ambacho mmekifanyia kazi...sio kuleta vitu ambavyo Mungu aliumba mwenyewe...hata Nepal wana mlima wenye urefu zaidi duniani ila hamna anayejali.Nigeria wana mafuta nyingi kabisa Afrika ila hamna anayejali hilo...hio ni kazi ya Mungu bro...leta jasho ya wanadamu
Kiwanda cha uhuru k na familia yake hahahaa unaeeza kuta hata kodi halipi ye si ndio rais hahahahah tabu sana kua mkenya mweeee
haya hela mnazopata toka kwa sisal ni kiasi gani? mnaweza kuwa ndio nambari moja duniani kumbe hela mnazozipata ni ndogo tu...kwanza sisal hata haina market kubwa kama vile maua na chaiFor your information Tanzania is the largest sisal producer in africa and in the world
kumbe hatuko pabayaFor your information Tanzania is the largest sisal producer in africa and in the world
true...tunawafuata unyo kwa unyokumbe hatuko pabaya
hiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.kenya kwa kilimo haswaa cash crops hamna nchi inaifikia afrika
Hahaha Nairobi is just getting started in the scycrapper craze.... we were focussing on our roads then....now let's play ........in one and a half years jirani watajua hawajui.. . hahahawacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141m
coconut inawaletea hela kiasi ganiππππusi reason kama panya broππππsisi tunaingiza 1 billion plus toka kwa maua tuhiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.
last year, tanzania held number one position in africa for coconut production/cultivation and was in top ten list among worlds coconut producers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Tanzania is the largest cashew nut producer in africaasante kwa kuleta kazi ya Mungu...haya leta jasho yenu watanzania sasaππππ
mbosho on one side....hahahaPwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?πππ Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
umepaniki buda.mende pngine mamako
Kenya's horticulture sector is modern and more robust than thatTanzania horticulture industryView attachment 676074 View attachment 676075 View attachment 676076 View attachment 676077
If you are thinking of 60s Tanzania you are lost my friend
ati jamaa ananiletea mbosho bana..πππthese niggas thoughmbosho on one side....hahaha