Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Last mile connections gani unazozungumzia ebu taja hata district moja Tanzania ambayo haiko connected to the national grid ?
Tanzania hakuna hiki kitu sasa hivi ndugu ,umeme unakufuata mpaka kijijini kwenu.
Ukisema hakuna last mile connectivity, hivi unajua Tanzania ndo inaongoza kwa 74 in rural electrification kwa east africa.nyinyo electrification yenu mnahesabu Nairobi na central Kenya.
Imagine situation ya 91% ya wakazi hawana umeme ? Hapa inamaanisha huo uwezo hata kusafirisha hakuna ila mnatengeneza habari kujifurahisha
 
Bongolala: The first country on earth ambapo watu wanaendea umeme kwa highway.

The aliens are coming to study how you did it.
Hawahitaji last mile connections, which explains why their numbers are so low.
Ndo maana unaambiwa wewe ni mjinga , umeme ukipitia katikati ya nchi Ina maana utakuwa na vituo vichache vya kupozea umeme na km chache za kusafirisha umeme.
Badala ya kuhitaji network mbili za kv 220 kusafirisha umeme na kuwa na vituo viwili vya kupokea utakuwa na network moja ya kv 400 na kituo kimoja Cha kupozea , na Tanzania umeme unapitia kwa barabara theni wewe ndo unavuta kwenda nyumbani kwako kutoka kwa low voltage network.
Point ilikuwa hatuna uwezo wa last connectivity , sasa inakuwaje Tanzania ndio inaongoza kwa rural electrification kwa nchi za east Africa huo umeme unafikaje . 98% ya viji vya Tanzania viko na connectivity, je huo umeme umefikaje?🤣🤣🤣🤣
Kumbuka umeme wa vijijini ni low voltage
 
Watu wa data fake!
 
Bongolala: The first country on earth ambapo watu wanaendea umeme kwa highway.
The aliens are coming to study how you did it.
Hawahitaji last mile connections, which explains why their numbers are so low.

Imagine hiii ilikuwa 2020
Ambapo rural electrification ilikuwa 70% haya Leo tuko na ngapi🤣🤣🤣🤣

Febuary, 18/2020

The high perfomance of President John Magufuli in developmental projects has made Tanzania to scoop the first position in the continent in rural electrification, Africa’s Power Journal (ESI AFRICA) has published.

According to ESI AFRICA – Africa’s leading power and energy journal, Nigeria was the leading country by 72%, but Tanzania has now taken the lead in the continent by reaching more than 74% rural electrification.

The ESI AFRICA states that total of 9,001 villages in the country have been connected; of these 3,559 villages were connected through the first round of Phase Three Rural Electrification Project (REA III-1), which is ongoing.
 
Which one is easy to connect between these 2?

Ghai bongo logic mazee..
This is the same as saying Kenya beat south Africa and UK in new rural connections which is a fact and feeling very accomplished.
 
Ghai bongo logic mazee..
This is the same as saying Kenya beat south Africa and UK in new rural connections which is a fact and feeling very accomplished.
Elewa maana ya rural electrification, hapa wanamaanisha upatikanaji wa umeme vijijini Tanzania leads in that sector , vijiji vyote umeme unapatikana imebakia ni Kila mtu aweze jiunganishia.
Kenya bado kuna majority ya vijiji havina access ya umeme
 
Ghai bongo logic mazee..
This is the same as saying Kenya beat south Africa and UK in new rural connections which is a fact and feeling very accomplished.
Issue ni kuwa Tanzania 98% of all villages ziko na access ya umeme Mimi naweza kukutajia list zaid ya 50 au 25% ya villages za Kenya zisizo umeme ila Tanzania of all villages ni 2% tu ndo hakuna🤣🤣🤣🤣
Hapa tunamaanisha kuna vijiji Kenya hata mlingoti wa umeme haupatikaniki kupitia barabaraani
 
Elewa maana ya rural electrification, hapa wanamaanisha upatikanaji wa umeme vijijini Tanzania leads in that sector , vijiji vyote umeme unapatikana imebakia ni Kila mtu aweze jiunganishia.
Kenya bado kuna majority ya vijiji havina access ya umeme
Mbona tuandike kwa mate na wino ipo?

Vs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…