Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
kwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninashuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B au zaidi...Tanzania will surpass that in 2 years to come.
Godfrey Simbeye, executive director of Tanzania Private Sector Foundation, said that the horticulture revenue will grow to 1.3 billion U.S. dollars by 2020,
Tanzania's 2020 horticulture revenue to double that of 2016 - Xinhua | English.news.cn
Tanzania is the largest producer of wine in africaAsilimia zaidi ya 70 ya chai inayonywewa Pakistan na Egypt inatoka Kenya
That's pain in the butt pole, we are comingkwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninashuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B au zaidi...
Ungejiuliza swali hilo, Kenya ilikuwa wapi ilipopitwa kwenye utalii?, ilipopitwa katika ukuaji wa uchumi?, ilikua imelala pale ilipopitwa katika kuvutia FDI kwa wingi?, ilikuwa wapi pale unemployment inavyoongezeka?kwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninsahuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B...
kwenye utalii walikua wanapishana na pesaππUngejiuliza swali hilo, Kenya ilikuwa wapi ilipopitwa kwenye utalii?, ilipopitwa katika ukuaji wa uchumi?, ilikua imelala pale ilipopitwa katika kuvutia FDI kwa wingi?, ilikuwa wapi pale unemployment inavyoongezeka?
msumari upi bana...ast Africa's takkest building 176 m uko karibu kumalizika...msumari wa moto huo.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
you are coming sawa ila sisi we are already there tunawasubiriππkenya kwa kilimo haswaa cash crops hamna nchi inaifikia afrikaThat's pain in the butt pole, we are coming
Hahaha alafu mnakula mende?Tuje kwa kahawa, Kenya nambari tatu baada ya Ethiopia na Uganda...kish namsikia mjinga flani akijaribu kufananisha agriculture Kenya na Bongo..ndugu tafta kazi..yaani mpaka Buhari, Rais wa Nigeria na Cyril Ramaphosa, naibu rais wa Afrika Kusini wanatambua kuwa Kenya ni hatareee kwa kilimo cha cash crops...
huyu hapa Buhari akiwa Kenya kujifunza kilimo cha maziwa
Ramaphosa promises to turn around ANC, praises Kenya model
He said South Africa has a lot to learn from Kenya, especially in agriculture sector, which is well developed.
tanzania leads africa in beans productionkwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninashuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B au zaidi...
Hahaha cash crops?? Tanzania top five African golden countriesyou are coming sawa ila sisi we are already there tunawasubiriππkenya kwa kilimo haswaa cash crops hamna nchi inaifikia afrika
tulia kama unanyolewa. [emoji23] [emoji23]msumari upi bana...
mende pngine mamakoππππkisha usiwe unafululiza upumbavu wako hapa kila wakati....kenya inaongoza kwa cash crops (flowers, tea, coffee etc) kwa food crops bado sana...ama ulikuwa unataka tule maua ili tuishiwe na njaa?πππHahaha alafu mnakula mende?
Tanzania largest producer of cotton this year harvest will double
Wala hawasikii tukipiga kelele.Hahaha alafu mnakula mende?
Tanzania largest producer of cotton this year harvest will double
wacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141mtulia kama unanyolewa. [emoji23] [emoji23]
btw, pinnacle imefikia wapi?... bado mnachimba shimo? ..tuwekee picha za current construction.[emoji23] [emoji23]
Nusu ya legumes wanazotumia Kenya na 70% ya carbohydrate ya Kenya inatoka Tanzania, bado wanatuletea maneno mengi, stupid.tanzania leads africa in beans production
Africa: Tanzania Becomes Sole Beans Producer, Feeding 10 Countries
View attachment 676185
Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?πππ Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...tanzania leads africa in beans production
Africa: Tanzania Becomes Sole Beans Producer, Feeding 10 Countries
View attachment 676185
Tanzania has the largest concentration of wild animals in the worldEA's newest tallest building without minara..LDC mnatuambia nn bana?ππππ
Ninyi mnalima maua, then mnaomba food donation, kichaa cha mimba hichoPwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?πππ Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
Pwahahahahahahahahaha ebu leta kitu ambacho mmekifanyia kazi...sio kuleta vitu ambavyo Mungu aliumba mwenyewe...hata Nepal wana mlima wenye urefu zaidi duniani ila hamna anayejali.Nigeria wana mafuta nyingi kabisa Afrika ila hamna anayejali hilo...hio ni kazi ya Mungu bro...leta jasho ya wanadamuTanzania has the largest concentration of wild animals in the world