Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo Kila siku shabiby na kadhalika zinatoka zikiwa full.
Yaan ukichukua mabasi yanayo operate mwanza -dom-dar na dar- mbeya- tunduma , ndo idadi ya mabasi nchi nzima ya Kenya🤣🤣🤣
 
sasa wewe unajua nn dunia hii, mpaka leo hujui tafauti ya skybox na lounge, na wazazi walitoa ela kabisa kupeleka kijana shule
Skybox ninayojua ni hii hapa.

At least hela ilitumika vizuri shuleni
 
Nadhani na wewe njaa inakukera ndio maana umeandika hotuba. Njaa ni mbaya, tatueni issue ya njaa ndio mje na hoja hapa JF
 
Kila mtu anajua Kenya ipo kwenye uangalizi wa IMF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…