Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni yeye? Hicho kichwa jameni.😂😂😂
Mbna nshapost picha yangu wanaetu, angalia apo chini utaniona nimebeba bahasha

1781340582619.png
 
I know English is not your cup of tea so no matter how many times I put it , your 6th grade mind won’t comprehend… so, for the last time , this whole stretch under the expressway from JKIA to ABC place Westlands is under major renovations and beautification by the Chinese….. so let’s talk a few months down the road…. And make google or YouTube your friend….. kapeesh !… 🤪
Which renovations?? Kwan wakati mnapost picha za westlands before hizi sehem mlikua hamzioni

Btw hehee

View: https://vt.tiktok.com/ZSQuoGV2u/
 
Report imetoka..

Page 32 wametoa uchambuzi mzuri kuhusu bandari ya Dar. Ndio imeshikilia biashara ukanda huu kwa Sasa. Uwekezaji mkubwa kutoka sekta binafsi na mapinduzi ya uendeshaji na uharaka wa huduma za kiforodha zinafanya Tanzania kuwa kimbilio kwa wasafirishaji na wafanya biashara.

Page ya 33 inaongelea bandari ya Mombasa vile Iko hivyo katika uendeshaji wake na imejikita kwenye propaganda zaidi kuliko uhalisia wake

Screenshot_20260613-132557.png
 
View attachment 3606929
Nimeisoma kaka ripoti hiyo. Hakika Kenya ipo na hali mbaya sana. Maelezo machache toka kwenye ripoti.

Dar es Salaam Port
Tanzania’s primary hub has registered a substantial turnaround in efficiency. Vessel turnaround times have dramatically fallen to 3 - 6 days, a massive reduction from historical windows where ships frequently waited between 10 and 30 days. By aggressively tackling "waiting time at anchor" (the time a vessel idles at sea before a berth opens up), Dar es Salaam has mitigated supply chain friction.

Mombasa Port
Kenya's main hub has encountered persistent structural headwinds that have penalized its global standing. The report highlights a decline in its CPPI metrics driven by a sharp reduction in berth utilization efficiency. Vessels at Mombasa routinely spend excessive time waiting outside the port boundaries before they can dock and offload.
 
Back
Top Bottom