KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
umeona hii amepost huyu mwenzako?floors ngapi izo....tukieka floors kumi na tano tutamaliza lini[/QUOTE]
Huyu kaweka ili kujibu lile lenu
Huyu hakujua battle yngu na nyie
Bado dar inawapa tumbo joto majengo ya dar sio mchezo hahahammeshift mada sasa....hamuangalii number ya majengo tena?
Umeona eeKenya hua hawakubali kushindwa ndio hulka zao sasa hata mambo yao wanayapeleka kiujanja janja hahahhahaha







Huyu kaweka ili kujibu lile lenu![]()
umeona hii amepost huyu mwenzako?floors ngapi izo....tukieka floors kumi na tano tutamaliza lini
Urefu wa UAP haujajumuisha mnara. UAP has an antenna not a Structural spire so bado UAP ni refu kuliko TPA. Muache kujenga majengo yenye floors fupi ndio muonekane muna floors nyingi eti.Yaan TPA Ingekuwepo mji wenu apo
Ingekuwa inafikiwa begani na britam ama UPA lkn kwakuwa njie ni wajanjawajanja mnaweka minara juu![]()
Usipoona kenyata conference hujaona nairobi hahahahaLens at Ngara: The city perspective from Ngara Nairobi
![]()
anajibu lemac yenye iko kitu 100 meters na zaidi na hii kitu ii[/QUOTE]Huyu kaweka ili kujibu lile lenu
Huyu hakujua battle yngu na nyie
Tulia baba dar hii ni 2017 utaelewa tuKweliKwanza niliwaambia nyie after TPA na UAP munaishiwa kabisa. sahii uko wapi?
yako 20 peke yake dar?waah...basi nlikua naiogopa bure darKwani kuna majengo mangapi kuanzia 20 na kuendea hapa dar na nairobi yapo mangapi? Kwa taarifa dar ina majengo marefu 20 kuanzia 20 floor and above
Kati ya majengo yote nairobi hili ndo waga naona baba lao