ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wewe nilishakwambia akili yako sio salama ufananishe nakuru na arusha hehhheehe hebu ianzisheni hio battle ya arusha na Nakuru naitaka kuona maana mm nimezunnguka city kwenu ni nairobi kwengine kote hakuna kitu sio momabsa sio kisumu sio kericho kote hakuna kitu sasa...na kama unataka anzisha hio battle tupambane mm na wwhehee....dar bado bro.na iyo arusha ilioshwa na nakuru itakua mombasa.daily tunawaambia dar ni pspf na tpa hamtaki kukubali.picha zenu zote mmezunguka tu apo..pspf,tpa,ukishikwa na haya ulete rita na bot..i feel sorry for you guys.heri mlete ariel view tu yaishe