President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Kila mtu anajua uchaguzi nchini Kenya ni chaos. Tena mwakani kwasababu Ruto siyo kikuyu Mungiki watachinja kila mtu anayeenda kinyume nao.If we have peaceful elections next year .. Kenya will take off in a way unimaginable… I have inside sources…… people just waiting on the sidelines… save my post … 🤪
Mathare
View attachment 3604286
Vingunguti
View attachment 3604288
Mukuru slumView attachment 3604294
Tandale middle-class area
View attachment 3604295
Kawangware slum
View attachment 3604298View attachment 3604307
Mabibo middle-class area
View attachment 3604308
Kangemi slum
View attachment 3604310
Chang'ombe middle-class area
View attachment 3604311
Dandora slum
View attachment 3604322View attachment 3604323
Buguruni middle-class area
View attachment 3604324
Baba Dogo slumView attachment 3604331View attachment 3604332
Manzese middle-class area
View attachment 3604334View attachment 3604335
You have a long way to go bongolalas
Passenger vs Cargo … come back when you grow up and serious..🤪
Kenya bhn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo 😂😂👇🏾View attachment 3604550
Running track ileeeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo 😂😂👇🏾View attachment 3604550
Najua ndugu zetu Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae nyangau mkenya kennedy0000 NairobiWalker hili jambo haliwahusu, lakini ni muhimu mkajua.
Bagamoyo Special Economic Zone is real, ngoja niwaambie uwekezaji unaoendelea kwa sasa na ujenzi unaenda kwa kasi sana.
1. SINOVEST kutoka China inajenga mradi wa viwanda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 10 (Kiwanda cha nguo na kutumia pamba kutoka hapa nchini)
2. kampuni ya HWTZ, tanzu ya HONGWANG Group ya China ( inaendelea na ujenzi wa Eneo la Viwanda la Kisasa lenye ukubwa wa hekta 500 ndani ya mradi wa Bagamoyo Eco Marine City (BEMC)), Mradi huu wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.5 unatarajiwa kuvutia uwekezaji wa jumla wa zaidi ya dola za Marekani bilioni 3 kutoka kwa zaidi ya kampuni na wawekezaji 150 watakaofanya shughuli zao ndani ya eneo hilo. Aidha, unatarajiwa kuzalisha zaidi ya ajira 5,000 za moja kwa moja kwa vijana wa Tanzania.
3. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd inayomilikiwa na MSC ndiyo inayofanya Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu kubwa lengo ni kuwa na gati 28
View attachment 3604804
View attachment 3604806
View attachment 3604810
Unateseka sana wee comrade
Kama kawaida wako nyuma kama matako.We're building a bigger SEZ in Naivasha. 6000 acres.
20 investors on site. 1 already operational.
Whatever bongolala is doing, Kenya started it years ago. Whatever bongolala has, Kenya has more 😂
Mhhh! Kuna dalili ya upigaji hpa🤔Haitajengwa
Bakuli seats
Haina Var
Affordable stadium
Nyasi haitamea...
View attachment 3604675View attachment 3604676View attachment 3604677
Watu hapa jukwaani wanakucheka chini chini. Na nimekutana na mkenya chooni anakucheka.We're building a bigger SEZ in Naivasha. 6000 acres.
20 investors on site. 1 already operational.
Whatever bongolala is doing, Kenya started it years ago. Whatever bongolala has, Kenya has more 😂
Naona umepeperusha hii news sana I don’t know what you think it means.. huko bongo serikali haifanyangi auctions? Auctions huku ni kila mwaka kilaza.Teargass and Nicxie mtatupa mrejesho asubui mauzo yameendaje, make sure unakuja na records kamili ili tujue budget ya dawa mwaka huu itakua kiasi gan kutokana na mauzo ya mashuka
View: https://x.com/Kenyans/status/2064208605562249701?s=20