Usiwe mjinga oyaaaaaHahaa prime minister anateuliwa na rais budaView attachment 3604570
Ndo maana nakuambia wewe ni mjinga hujui lolote , prime minister always ni kiongozi parliamentary system . Prime minister wa Singapore mamlaka yake ni bungeni na kwa mawaziri , hana uwezo wa kufukuza waziri yoyote Wala kuteua.Usiwe mjinga oyaaaaa
Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Wajinga kama nyinyi ambao hamna prime minister hamjui loloteUsiwe mjinga oyaaaaa
Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Kwanza ndugu yetu nairobae nilikuwa najua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo lakini si kwa kiwango hiki ulichokionehsa leo.Kelele za Chura jiwekee, serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister.
Akili za kibongolala zimekuambia powers ni kuhusu ule anaweza fukuza mwingine kwa serikali. 😂 😂 😂 Heee kama hii ndio akili ukonayo, wewe usizalishe. Tafuta wakati usome kuhusu parliamentary system of governance.Hahaa prime minister anateuliwa na rais budaView attachment 3604570
Sasa kama rais hana mamlaka inakuwaje ndo mteuzi wa mawaziri . Waziri mkuu hana uwezo wa kufukuza waziri yoyote maana hajawateua yeyeView attachment 3604573
Mjifunzage jinsi nchi zenye prime minister zinavyofanya kazi mbwa nyinyi , Kenya hakuna prime minister hamjui lolote
Oops!!!.. the grass keep getting greener … 🤣🤣🤣…Show me another stadium in this region with this environment.
View attachment 3604524
Tanzania haina a parliamentary system of governance. Wewe ni fala bana.Wajinga kama nyinyi ambao hamna prime minister hamjui lolote View attachment 3604574
Tanzania has the same model ila katika hybrid .
🤣🤣🤣🤣
Really ?.. is that a question?… nyumba zangu zote ni za gorofa .. Kenya na Marekani … jinyonge !..😆
Let him stay outta there in Canada 🇨🇦… 😆😆😆
Uko sahihi, PM wa Singapore anateuliwa na Rais ila Rais anapigiwa kura na wananchi na Rais ana uwezo wa kumfuta PM kazi.Stupid Kunyarendan huyo ni kiongozi mdogo tu hapo Singapore , nafasi yake ni ya kuteuliwa tu na Raisi.. kwa maneno mengine huyu mtu wako si final say. Anaweza kutenguliwa muda wowote. 😂😂😂
Wewe ndio una wivu, halafu unaita washamba 😂😂😂 kilaza mmoja wewe
Kwani Kenya hainaga wasaniii wa kuwakilisha kwenye international events🤣🤣🤣🤣Let him stay outta there in Canada 🇨🇦… 😆😆😆
Tulikua tunaongelea Singapore, hakuna mtu alikuuliza kuhusu serikali yenu.Ndo maana tunakuambia wewe ni mjinga. Hamjui lolote
Executive BranchHead of State and Government: The President (currently Samia Suluhu Hassan).Selection: Elected by direct popular vote to a 5-year term.
Legislative BranchUnion Level: Unicameral National Assembly (Bunge), responsible for passing laws that apply to the entire United Republic.Zanzibar Level: The Zanzibar House of Representatives, which handles local matters
.Judicial BranchA dual legal system with the Court of Appeal of Tanzania (highest for both Union and Zanzibar) and the High Courts. Zanzibar also utilizes subordinate courts, including Kadhi courts for specific family law matters.
Ila Kenya haina mfumo wowote wa kueleweka maana haijulikani nani ni legislative representative wa serikali. Yaan full mvurugano.
Hakuna kiongozi yoyote anayewasimamia mawaziri Wala kuongoza daily activities za mawaziri au kusimama bungeni kuitetea serikali 🤣🤣🤣🤣
Ndo maana tunakuambiaga Huna akili , huyu sio weweTulikua tunaongelea Singapore, hakuna mtu alikuuliza kuhusu serikali yenu.
Ndugu yetu nairobae sasa unawataka watu wote wawe narrow-minded kama wewe? Unataka watu wajadili juu juu tu wasichimbe jambo? Hii ni JF kaka, watu wa humu ni Great Thinkers, siyo kama vile vi social medias vyenu vya huko kenya 24/7 watu wanatukanana na kutambiana ukabila. Society yenu ni primitive sana sana.Tulikua tunaongelea Singapore, hakuna mtu alikuuliza kuhusu serikali yenu.
President wa Singapore is ceremonial, ndio maana hata hakubaliwi kusimama na chama yoyote. The president appoints the PM, a leader of the political party with most seats in parliament. Najua mafala mlikua mnadhani president anachagua mtu yeyote mwenye anapenda. Hata kufuta PM, lazima apate idhini ya parliament. Bongolala hamjui how a parliamentary system of government works. Huko kwenu mumezoea Rais ndio ana appoint na kuvuta mtu yeyote kazi vile anataka. Ndio maana muna reason kama mafala. 😂 😂 😂Uko sahihi, PM wa Singapore anateuliwa na Rais ila Rais anapigiwa kura na wananchi na Rais ana uwezo wa kumfuta PM kazi.
Watu hawataki kujifunza namna mambo yanaenda ati kisa uzalendo. 😂😂😂
Sasa kama mtu anakuwa Singapore haina parliamentary system atakuwa na uwezo wa kuchambua mambo makubwa ? 🤣🤣🤣🤣Ndugu yetu nairobae sasa unawataka watu wote wawe narrow-minded kama wewe? Unataka watu wajadili juu juu tu wasichimbe jambo? Hii ni JF kaka, watu wa humu ni Great Thinkers, siyo kama vile vi social medias vyenu vya huko kenya 24/7 watu wanatukanana na kutambiana ukabila. Society yenu ni primitive sana sana.
But mdogo wangu hoja ya msingi kabisa tumeitaka sote hapa ni kuhusu picha yenye umuhimu mkubwa yaani drone view ya Nairobi, kwanini hutaki kuileta?
Lakini haina shida dunia yote imeona kuwa watu wote wa kenya wameshindwa kutupatia ka picha kamoja tu ka drone view ya Nairobi.
Also issue yenu ya kutembelewa na Waziri mkuu wa singapore mwaka 2023, tunaomba utupatie impact ya ziara hiyo maana sasa tunakimbilia mwaka wa nne.
Bongoslum the president can fire and appoint the PM without parliaments approval. Your comparison ni ya upuzi tu.Ndo maana tunakuambiaga Huna akili , huyu sio weweView attachment 3604622
Au hujui kuwa legislative system inahusiana na parliament 🤣🤣🤣🤣
Shule zenu za kuokoteza.
Kwanza tukuelimishe kuna system of governance kuna kuna
Executive ya raisi na mawaziri
Legislative bunge na wabunge
Judiciary mahakama .
Kwenu havipo ?
Huyo president wa Singapore alisimama na chama gani?Sasa kama mtu anakuwa Singapore haina parliamentary system atakuwa na uwezo wa kuchambua mambo makubwa ? 🤣🤣🤣🤣
Au Singapore Ina mfalme ?🤣🤣🤣🤣🤣