Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala sema ni data huna ya kuwatch videos. Stop hiding behind keyboard wakati wewe ni moja ya wale watu wanashinda humu hadi usiku wa manane. Wewe na Stakehigh anayeshinda humu 24/7 mko na tofauti gani? Alafu unakuja hapa na nyefnyef eti mko busy 😂😂
 
Go and work shauri yako, si umeaona Teargass karudi shift ya kua mlinzi
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Nicxie umepanic. Yaani umeleta picha 21!!! Ktika picha zote hizo hakuna drone view photo ya Nairobi.
Picha zote hizo ulizoweka hatuoni maeneo haya kwa sababu picha hizo ni oblique siyo verticle

  • Kibera
  • Mathare
  • Mukuru kwa Njenga
  • Mukuru kwa Reuben
  • Mukuru Kayaba
  • Viwandani
  • Korogocho
  • Kawangware
  • Kangemi
  • Dandora
  • Kariobangi
  • Majengo
  • Kiambiu
  • Deep Sea
  • Huruma
  • Matopeni
  • Maili Saba
  • Baba Dogo
  • Githogoro
  • Mitumba
  • Kitui Village
  • Kanuku
Kijana wetu kubali tu kwamba drone view photo italeta aibu hapo Nairobi, na watu wote watakuelewa kwa uungwana huo
 
there is a place ipo nyuma ya kiserian nmeisahau jina but ni zaidi ya slum, jina lake hua nalisahau but i have visted there
 
nmekumbuka panaitwa ROngai



 
It's the same person, ye huswitch account. Very idle person.
 
Wewe ni desperation inakuuwa. Did you say hakuna picha ya Kariobangi? Isn't this one of pictures I posted here? Is this Temeke?
 
Ndugu yetu Kundudweller aka Nicxie unaporomosha maneno haya yote kwasababu watu hapa wamekuomba ulete picha moja tu ya drone view? au ni ule ungonjwa wako kifafa na kupoteza kumbukumbu umefika masaa yake?

1. Unanituhumu kuwa sina bando halafu wakati huo huo unasema mimi na Stakehigh tunashinda kwenye mitandao 24/7 - Watu hapa JF hawahitaji kuwambiwa kuwa wewe ni kichaa wanaona wenyewe.

2. Picha moja tu ya drone view watu wanaililia waweze kuiona. Kuna wawekezaji na watalii wamo humu JF wanasubiri picha yako watie timu hapo Nairobi.

Mimi binafsi sikulaumu kwa comment zako za namna hii kwa sababu najua hali yenu ya ukosefu wa chakula hapo Kenya. watalaam wanasema mtoto akikulia katika mazingira ya chakula duni anakuwa na mtindio wa ubongo.

Tuwapatie chakula bora watoto wetu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…