Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya imezingirwa na Nchi za kipuzi sana.
Hadi ghana na ivory coast zinawashinda
 
Uwanja haujakamilika lkn tayari unaonekana ni jua kali 😂😂😂😂😂
Talanta haitajengwa mark my words 🤣 🤣 🤣
 
Hamtengenezi vitu kijuakali wakati mko na na stairs in the middle of the terrace imejipinda kama mrija ya punda!🤣🤣🤣
View attachment 3602088View attachment 3602089
Unani quote mara mbili mbili kunielezea ujinga.? Unataka tufanane we nyoko.? Hizo staircases, roofing, the design of it’s platforms ndio inafanya Arusha stadium kuwa unique .. tofauti na hiyo cheap stadium yenu mlioezeka maturubai. 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…