Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2023-09-27-17-33-45-66_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Final ni hapo,
Hakuna final kwa uwanja with running track!!!!
Talanta is the only way.
Sasa iyo Talanta iko wapi, sisi tayari tuna uwanja wa kisasa unaobeba watu zaidi ya 60k na sasa upo kwenye maboresho, we unaongea kitu ambacho hamna.

Kwa uchumi wenu ulivyo hovyo plus viongozi waongo waongo unadhani mnaweza kujenga kiwanja chenye ukubwa sawa na Mkapa stadium? Mpaka hivi tunaongea sisi kaka zenu tushaanza maandalizi tangu mwaka jana, nyinyi bado hata serikali haijasema chochote, mnaongea vitu vinavyosemwa mitandaoni na sio vilivyosemwa na serikali yenu, mnaakili kweli nyinyi? Mjenge uwanja usio na eneo la kukimbia alafu mtautumia kwa mchezo gani? Mpira kwenu hamna.

CAF watakuwa wajinga kiasi gani wasipeleke fainali Tz kwenye muamko wapeleke Kenya hata ligi tu inabebwa na watz, nani atakuja kuujaza huo uwanja?

FYI, hizo fainali tutaandaa wenyewe, nyie nchi za EA ni maskini hamuwezi kuandaa AFCON, kama unabisha niko nimekaa paleee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa iyo Talanta iko wapi, sisi tayari tuna uwanja wa kisasa unaobeba watu zaidi ya 60k na sasa upo kwenye maboresho, we unaongea kitu ambacho hamna.

Kwa uchumi wenu ulivyo hovyo plus viongozi waongo waongo unadhani mnaweza kujenga kiwanja chenye ukubwa sawa na Mkapa stadium? Mpaka hivi tunaongea sisi kaka zenu tushaanza maandalizi tangu mwaka jana, nyinyi bado hata serikali haijasema chochote, mnaongea vitu vinavyosemwa mitandaoni na sio vilivyosemwa na serikali yenu, mnaakili kweli nyinyi? Mjenge uwanja usio na eneo la kukimbia alafu mtautumia kwa mchezo gani? Mpira kwenu hamna?

CAF watakuwa wajinga kiasi gani wasipeleke fainali Tz kwenye muamko wapeleke Kenya hata ligi tu inabebwa na watz, nani atakuja kuujaza huo uwanja?

FYI, hizo fainali tutaandaa wenyewe, nyie nchi za EA ni maskini hamuwezi kuandaa AFCON, kama unabisha niko nimekaa paleee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afcon ni world cup?
Atleast mfike levels cecafa haijawahi fika tuwatambue.
Afcon ni upuzi ingine Haina maana hapa Africa
Huyo huwa anaponda michuano ya Africa kama Afcon, inakuaje leo anakenua au huwa ni wivu kwa sababu timu zao hazifanyi vizuri!
 
Huyo huwa anaponda michuano ya Africa kama Afcon, inakuaje leo anakenua au huwa ni wivu kwa sababu timu zao hazifanyi vizuri!
Unaambiwa nchi nzima imeripuka kwa furaha kwamba sasa wataenda AFCON, wakati sisi tayari tunaenda AFCON mwakani, tofauti ni kama jua na mwezi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom