Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe inakusaidia nn Au unafurahia kukosa ardhi ili coca wapate?
Ilifaa ulipwe iq
bogus sana wewe....mimi nimepitisha point tu wala sijasema kuwa Coca Cola wanafaa wawe na ardhi nami nikose...ukweli nikwamba Tanzania haina uwekzaji kama ule uliomo nchini Kenya hivyo bi ya bidhaa na ardhi lazma zipande...99% ya multinarional companis zilizo Kenya zipo pia SA...sasa nenda uulize bei ya ardhi Johannesburg uone kama huta pigwa na butwa...
 
bogus sana wewe....mimi nimepitisha point tu wala sijasema kuwa Coca Cola wanafaa wawe na ardhi nami nikose...ukweli nikwamba Tanzania haina uwekzaji kama ule uliomo nchini Kenya hivyo bi ya bidhaa na ardhi lazma zipande
[emoji38][emoji38]
Enheee alafu ikawaje...
 
[emoji38][emoji38]
Enheee alafu ikawaje...
nadhani point niliokusudia kupitisha nimeipitisha vyema...bei ya ardhi ikiwa juu kuna sababu...nenda Johannesburg kaulize bei ya ardhi ndio ufaham kuwa LDC ni LDC tu...
 
nadhani point niliokusudia kupitisha nimeipitisha vyema...bi ya ardhi ikiwa juu kuna sababu...nenda Johannesburg kaulize bei ya ardhi ndio uju kuwa LDC ni LDC tu...
Njoo Apa mahali nakaa ununue robo acre urudi na dada yangu bure sitak ata at yani yako shenz kabisa,ulidhan bei rahisi ni rahisi kila mahali sio?
 
Ilo ni soko la mtaa embu acha utani muda wa kazi kijana, city market ukiingia tu umeshatoka? Tuonyeshe soko hatupendi jokes tafadhal
Watanzania mna mazoea ya kuenda kwenye markets ndo maana markets zenyu ni kubwa....kinyume na Kenya watu wachache sana hununua bidhaa kwenye markets..there's literally a supermarket in every corner of Nairobi kwa kuwa watu wengi hupenda kupick bidhaa kutoka kwenye supermarkets...it's all about lifestyles
 
Njoo Apa mahali nakaa ununue robo acre urudi na dada yangu bure sitak ata at yani yako shenz kabisa,ulidhan bei rahisi ni rahisi kila mahali sio?
nikitamani kununua ardhi dar nanunua hata 1 hectare..wacha robo acre...bei Dar si nikama tu kununua pipiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ headquarters mlio nao ni LDC tu....sisi tunao akina Coca Cola, Google, Microsoft, IBM, Samsung na kadhalika ...Hilton Hotel inayojenga the Pinnacle wana hqs Nairobi...China News Network wana hqs Nairobi...usifananishe LDC na Middle income weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ufaham kuwa when demand is high, prices are high...simple economics
 
Iyo sio sababu...gov yenu haina time na juakali wenu ambao hawawez fuata nyanya na hoho supemarket kwenye bei za juu pasipo na sababu yyte ile...
Hakuna serikali inayojenga Mall hua ni mashirika au wawekezaji so Apo mmepata ZERO
 
Iyo sio sababu...gov yenu haina time na juakali wenu ambao hawawez fuata nyanya na hoho supemarket kwenye bei za juu pasipo na sababu yyte ile...
Hakuna serikali inayojenga Mall hua ni mashirika au wawekezaji so Apo mmepata ZERO
sasa malls na supermarkets zimejaa kote na zinalipa ushuru kwa serikali...ndio maana hata uchumi wenu uko chini hivyo....mna mazoea ya kishamba...etu mtu hawezi nunua bidhaa suprmarket...anatamani tu aende kariakoo apimiwe mchele ama ungaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mnapenda sana informal shoppingπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiweza nunua robo tag me plz, naona uko overwhelmed na private companies ambazo aziwez kukusaidia chochote ata zingejaa kila kona ya nchi yenu
 
Shopping is just shopping what ar you trying to tell us is not existing. .....
Supermarket zipo Kila mahali nowadays but ni more of processeced products na sio fresh produce hommie...
 
Nikihitaji viazi mviringo,Nyanya,karoti,hoho, niende supermarket Kufanya nn and vitu kama mahindi, McHale watu wanalima sana wengine are hawajui bei zake ni mizigo inakua ndani ni wao kusaga tu na kukoboa wakihitaji. ..even mafuta watu wanalima alizeti so muda ukifika wanapeleka kukamua tu ....Nyie mnarundikana apo korogocho Baadae mnafuata Unga wa pkt supermarkets na kujiita Middle income...mnakuaga na mgando wa akili
 
Ukiweza nunua robo tag me plz, naona uko overwhelmed na private companies ambazo aziwez kukusaidia chochote ata zingejaa kila kona ya nchi yenu
nanunua ardhi LDC ya kazi gani? kwanza joto iliopo Dar siwezani nayo...pili, mimi mtu wa kusafiri sana...nahitaji kuwa karibu na JKIA...Finally, Tanzania uchumi mdogo tu hakuna biashara...hivyo siwez taka kuwekeza mahala hakuna hela...kisha nikukumbushe kuwa hayo makampuni Hilton, coca Cola na kadhalika yamewaandika wakenya kazi na wanalipa ushuru kwa serikali ya Kenya...huo ndio umuhimu wao hapa nchini bogus wewe..
 
Kila Mkenya angekusikiliza ww wasingekua No 1 uku kwa uwekezaji,utalii nk
utabaki kua solo bogus
Sababu zako zote ni uchwara!!
 
sema tu hali ya maisha LDC ni magumu hivyo watu wenye mapato ya nchi LDC lazima waende sokoni maana supermarket hawawezani nazo....malls huwa zinaashiria uwepo wa middle class kubwa....Tanzania mmeshindwa hata na Madagascar, Ghana na Ivory Coast kwa middle class...mta afford kweli kufanya shopping katika malls?
 
picha za Sgr nilizoziona ni hizi hapa...uzi uko ukurasa wa 16πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

fananisha na hii ya SGR Kenya iko ukurasa wa 360 wa Standard Gauge Railway | Mombasa-Nairobi-Kampala-Kigali | U/C - SkyscraperCity
Their project stalled juu ya kukosa hela.
Hahaha stalled? Hivi bado wakenya hamuamini kama next year Tanzania will launch the first bullet train in the eastern and central Africa?

Tupo kwenye speed kali meanwhile in mwanza wakati tunaendelea na SGR yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…