stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,509
- 34,086
Teargass tore bobe vp? only 2 clubs in the region likishapakwa rangi
View: https://www.instagram.com/p/DZISwAOCK3S/
hilo basi bei yake mzee baba imechangamka kinoma, Yanga wanatumia lile la kawaida marcopoloHivi Yanga Utopolo wana basi kama hili?
Mbona timu za akina Teargass sizioni kwenye hiyo listi?😎
apo labda zile za lwenye slums, unakutana na kiungo bamia Teargass pale timu ya slums alafu piga tatu anapiga Nicxie kulia mbili anapiga mwaiofhawaii na mwishowe kabisa timu haina kipaMbona timu za akina Teargass sizioni kwenye hiyo listi?😎
Namaanisha Yanga ze Utopolos!
Hawa mbwa wanapaswa kuruhusu Air Tanzania iende EU pia!belgium straight to moshi
Si tayar walisharuhusu nchi mmojaHawa mbwa wanapaswa kuruhusu Air Tanzania iende EU pia!
Afcon itaifanya Arusha ijiweke kwenye position nzuri mno kimiundombinu.. itakua ni jiji la tatu kwa idadi kubwa ya barabara za dual carriage ways baada ya Dar na Dodoma