Mnuka mavi anaumia,anajikaza tujamaa kaona isiwe tab acha aongee itoke 🤣 meanwhile Teargass bado kakaza
saahii unamwagiwa maharagwe ya moto au kuchomwa moto ukisifu Ruto!
ukijumlisha na EBOLA daahsaahii unamwagiwa maharagwe ya moto au kuchomwa moto ukisifu Ruto!
Majinga yanafanya show kuipongeza arsenal wakati hata iyo arsenal hawajui kama kuna nchi inaitwa Kenya. Sisi tunafanya sherehe za timu zetu 😂😂😂😂😂
Tunatakiwa tuandae pekeetu miaka michache ijayo. Tutakuwa na Mkapa, Arusha, Dodoma, Fumba, na Jangwani na wakati huo Simba hawatakubali nao watapambana wapate japo kiwanja cha mpata mpatae.Uwanja wa dodoma ndio huo tena. Yooo huu uwanja utakua na view nzuri kinoma noma. Cheki vitu hivyo. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DY6gM3jM-RN/?igsh=MWw5cTVmdGVwdTQ4cg==.
Hawa uganda nao waache kujenga mabakuli kama talanta, wajenge viwanja vya kisasa, ule uwanja wao bado wa ki Africa kama talanta au nakivubo.Uganda washaweka bid ya peke yao AFCON, yaani viumbe tunawasaidia alafu wana mdomo sasa watakula jeuri yao
Aende nje, na sio Africa, aende ulaya. Najua timu zetu zina misuli ya kumbakisha ila ifike wakati tupeleke watoto nje.
Hawa ******* hawana uwezo wa ku maintain quality ya infrastructure yoyote wanayojengewa, just imagine hii ni kasarani 👇👇
Kama wana jeuri wasiangalie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawa mafala ni maskini kichz, kuangalia mpira woa wenyewe hawawezi, sasa tunawasaidia World cup
View: https://youtu.be/L35zQrqasRw
once again kenyans have to watch World cup on AzamTV
Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasawe mzee, viwanja lazima viendelee kujengwa! bila viwanja AFCON tutakua tunaiskia tu kwa watu, apa tunatakiwa kufikisha viwanja 12 kwan ndo vigezo vya world cup na pia tayar nchi yetu inapeleka timu 4 CAF, na tunataka kuhost mashindano ya afrika yote
Bila hivo GDP ya $1 trillion utaiskia tu mambele
wacha kufanya comparative assessment kwenye kila kitu!Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Yani GDP ya 1 trillion usd inachangiwaje na uwepo wa viwanja vya mipira!?we mzee, viwanja lazima viendelee kujengwa! bila viwanja AFCON tutakua tunaiskia tu kwa watu, apa tunatakiwa kufikisha viwanja 12 kwan ndo vigezo vya world cup na pia tayar nchi yetu inapeleka timu 4 CAF, na tunataka kuhost mashindano ya afrika yote
Bila hivo GDP ya $1 trillion utaiskia tu mambele