Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha eti Kenya unga 40 hahaha labda pumba za kuku
 
Wakati sukari Tanzania ni 115 Kenya sukari ni 198 acha uongo
 
SGR Picha hamna?
 
Kuna tofauti wa unga wa pakiti na unga Wa kupima......unga wa kupima huku pia utapata na 40/45 per kilo
I was going to tell him the same thing. There's a very big difference between unga wa kupima na unga wa packet. Hata hapa Kenya kuna unga wa kupima na inapitikan kwa shilingi 45 kwa kilo kama sijakosea. Tofauti yetu na wao ni kwamba wakenya hawana desturi ya kununua unga wa kupima sana kwa sababu they prefer ile unga ya packey so asishangae akiona unga inauzwa kwa supermarket. Here in Kenya, unga wa kupima is mostly associated with what we commonly call "kagogo economy". Yani mtu ambaye hana hela ya kutosha kununua vitu in bulk so they resort to buying things in small quantities. Unga wa kupima, mafuta ya kupima na kadhalika.
 
Na vipi tena mnakuwa tu pale pale LDC? kwani hiyo bei haiwasaidii kumaliza umasikini?
 
kitu nimependa Tanzania vitu ni bei rahisi...mimi hapa ningekuwa naishi tanzania ningekuwa tajiri...warembo wote wa Bongo wangekuwa wananipea kila siku...coz if you have 1000 KSH in Tanzania inanunua shopping mzuri sana....hongereni kwa hilo...inflation mume maintain chini
 
Na vipi tena mnakuwa tu pale pale LDC? kwani hiyo bei haiwasaidii kumaliza umasikini?
Umasikini ni nini kwa tafsiri yako????

Elimu ya kuungaunga nayo ni janga!!!!hujui kwamba uzalishji ukiwa mzuri zile stori za chini ya dola moja kwa siku zinakosa mashiko.maana dola moja sasa itafanya makubwa zaidi.and that is tz.

Kaa unapiga kelele za ldc bila kujua maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…