Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Posta, Tanga



Tanga Residential Areas with free access to public Sports



Tanga Tourism

Saadani National Park.. Mbuga pekee Africa ambayo wanyama huogelea baharini.. Mbuga iliyo pembezoni mwa bahari na mto ndani yake



Amboni caves.. Mapango pekee Duniani yenye njia ya moja kwa moja ndani mpaka nchi ya jirani.. Ukipita moja kwa moja unaenda kutokea Kenya.. Na hapa wale alshabab Wa Kenya ndipo walipouliwa wakijarib kuingia Tz



Hospitali Kongwe ya historia na bado iko Imara.. Bombo hospital

 
tanga tanzania


 
Naenda Tanga wiki hii kuna maeneo mengi sanaaaa sema hayakua uploaded kwenye Mtandao.. Kwny Internet kuna Tanga ya 90s.. Kuna Garden za Kimataifa, Forodhani, Uhuru, Toyota nk. ... Kuna Raskazone Beach uko kuna Majengo ya Hatari karibu na Beach.. Kuna Tanga Beach Resort, Kange multi million residential areas sio poa.. Ntahakikisha napita kote uko..
 
hii ndio MLDC πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…