Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,356
- 33,674
Umesema ni requirements ya barabara kuwa na service lane.Service lane haiwezi ihesabia kama ni lane sababu ni requirements ya barabara kuwa na service lane. Huwezi ihesabia kama ni moja ya lanes za barabara ,wajinga nyiny
Ebu tuonyeshe service lane🤣😂😂👇👇👇