President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Dodoma inakuja
Taanta ni sakafu wakati wa Arusha una tiles
By the time hivi viwanja vinakamilika tofauti itakuwa mbingu na dunia maana Ukunduni hawajui quality works!
Wewe ni mpumbavu sana.
A short story of what happened: it was supposed to be funded by high prince of moroco, then mizingwe ilitokea katikati enzi za magu wazee walitaka kue na msikiti ndanMchengerwa ndie aliyesaign ujinga huu wa uwanja wa dodoma.
Unapoteza muda kujadiliana na wapumbavu, Toka lini Burundi,Malawi, Zambia zinaizid tanzania kwa miundombinu.Wewe ni mpumbavu sana.
Hivi ushafika Ghana, Senegal, Gambia, Swaziland?
So, according to your ujinga, Malawi wana infrastructure gani kutuzidi?
Uganda will overtake Tanzania in 2yrs from now. Their laziness can't allow them to grow.
View: https://x.com/i/status/2057504991133208595
Hiyo ya Morocco kufund huo uwanja inaeleweka na Morocco walijenga msikiti dar. Swala la Morocco kuachana na project hiyo ni baada ya kifo cha Magu kwakua Magu aliachana na ile foreign policy against morocoo kuhusiana na western Sahara, Samia na genge lake la Mkwere wakabadilika.A short story of what happened: it was supposed to be funded by high prince of moroco, then mizingwe ilitokea katikati enzi za magu wazee walitaka kue na msikiti ndan
however morocoo wanajenga uwanja wa watu kama 120k ambao purely ni white elephant
Hapa tunazungumzia 1bil usd kwa mwaka bila kuhusisha dividend ya 15% ya ownership
figisu za wapumbavu wa Ukunduni! Na bado tunaenda kuwanyang'anya refinery!GDPya Tanzania sio halisi.
imeisha hioHapa tunazungumzia 1bil usd kwa mwaka bila kuhusisha dividend ya 15% ya ownership
Gdp isikubabaishe , bado kuna mchuchuma na mradi wa gesi haujaingia sokoni , bado kuna lng 42bil usd , hiyo Uganda ni ndoto za alinacha. Shida benki kuu inadhibiti sana shilling isipande saaanaGDPya Tanzania sio halisi.
apo ni nje ya refineryHapa tunazungumzia 1bil usd kwa mwaka bila kuhusisha dividend ya 15% ya ownership
Hatuhitaji kuwanyang'anya hapo ni kuwapa tu total go ahead wajenge refinery kubwa tz, fursa ambayo hawawez iachiafigisu za wapumbavu wa Ukunduni! Na bado tunaenda kuwanyang'anya refinery!