REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,648
- 11,611
Ndio mwanzoni niliwaambia kuwa Tanzania ni lazima iwe na refinery, awe Dangote ama la, hii game iliishaga kitambo sana. Wakenya wajinga na hawaelewi why Ruto alisema mapema Tanga. Wanafikiri Ruto ni mjinga.Hatuhitaji kuwanyang'anya hapo ni kuwapa tu total go ahead wajenge refinery kubwa tz, fursa ambayo hawawez iachia
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2053444964860702918?s=20