Ours does more than 200kph usitufananisheBoth trains are slow trains. Non goes beyond 200km/h😂😂
Acha comedy leta Developments za KenyaI asked Chatgp about the two and the answer won't impress these witches😂😂👇
View attachment 3592935View attachment 3592936
Embu tuhesabie hapa hizo barabara ziko wapi?Kenya's paved roads are 25,000km against 12,000km of Tanzania 😂😂🤣
Yes hii ni exactly the level of their stadium.
Hizi zinatumia umeme mwingi sana kuna wakati tulikuwa na mechi Taifa kama mara mbili hivi umeme ulikatika zikashindwa kuwaka nasikia huchukua mpaka saa moja kuwaka katika full capacity kwa uwanja mzima tuliziondoa zote wao ndio wanaweka leo 🤣🤣🤣ila jamaa aliekua anafanya video kasema zna joto kinoma, nkakumbuka broila
Si mlikuwa mnaongelea lights? After kuwaonyesha comparison na ya Talanta Stadium tena hamtaki hizo discussions za light?🤣🤣😂Acha comedy leta Developments za Kenya
You are comparing lighting ya Talanta na lighting ya wapi?Si mlikuwa mnaongelea lights? After kuwaonyesha comparison na ya Talanta Stadium tena hamtaki hizo discussions za light?🤣🤣😂
Vitu vingine havihitaji AI 3500W DDG Lamp Requires 5 to 15 minutes to warm up or restrike if power drops. Unasifia vitu vya kijinga.Si mlikuwa mnaongelea lights? After kuwaonyesha comparison na ya Talanta Stadium tena hamtaki hizo discussions za light?🤣🤣😂
Unaonekana kama mahame 😂Huu uwanja ni kama umepigwa bomu au wanauvunja. 😂😂🤣👇🏾View attachment 3592862
Kabla ya refinery kuamuliwa wapi inajengwa hell no! Halafu tuone wanachogombania kama watafanikiwa!Maoni yangu gas ya mtwara tusiipeleke kenya kwa hivi sasa maana hawa madalali hawana hawaaminiki,hasa suala hili la dangote na refinery
Hizo lights za pili si Tanzania! Za Arusha stadium zipo kwenye roof pia. Wacha upumbavu!I asked Chatgp about the two and the answer won't impress these witches😂😂👇
View attachment 3592935View attachment 3592936
hii naikumbuka vizuri, daaha bora tuliondokana na yale mabulbHizi zinatumia umeme mwingi sana kuna wakati tulikuwa na mechi Taifa kama mara mbili hivi umeme ulikatika zikashindwa kuwaka nasikia huchukua mpaka saa moja kuwaka katika full capacity kwa uwanja mzima tuliziondoa zote wao ndio wanaweka leo 🤣🤣🤣
Sasa kama logic hata hio ndogo unashindwa kuelewa unadhan more info will help you?You are talking rumours. Give us evidence that Kenyans external debt is above 50%.
Baadala ya kuongea nonsense hapa ungepost Tu link.