President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,531
- 94,013
Kabla ya refinery kuamuliwa wapi inajengwa hell no! Halafu tuone wanachogombania kama watafanikiwa!Maoni yangu gas ya mtwara tusiipeleke kenya kwa hivi sasa maana hawa madalali hawana hawaaminiki,hasa suala hili la dangote na refinery
Hizo lights za pili si Tanzania! Za Arusha stadium zipo kwenye roof pia. Wacha upumbavu!I asked Chatgp about the two and the answer won't impress these witches😂😂👇
View attachment 3592935View attachment 3592936
hii naikumbuka vizuri, daaha bora tuliondokana na yale mabulbHizi zinatumia umeme mwingi sana kuna wakati tulikuwa na mechi Taifa kama mara mbili hivi umeme ulikatika zikashindwa kuwaka nasikia huchukua mpaka saa moja kuwaka katika full capacity kwa uwanja mzima tuliziondoa zote wao ndio wanaweka leo 🤣🤣🤣
Sasa kama logic hata hio ndogo unashindwa kuelewa unadhan more info will help you?You are talking rumours. Give us evidence that Kenyans external debt is above 50%.
Baadala ya kuongea nonsense hapa ungepost Tu link.
Ila hivi viwanja vyenu vinatia aibu. 🤣 🤣
Yani hujaombwa unanyimana. Kujipea umuhimu ndio zenu. 🤣 🤣 🤣Maoni yangu gas ya mtwara tusiipeleke kenya kwa hivi sasa maana hawa madalali hawaaminiki,hasa suala hili la dangote na refinery
Bongolala, how about the lies I debunked above? Please talk about that first then ill come back to tackle your renderImagine 6 lanes painted over here! Nairobi itawezana kweli?
Nowhere in Kenya's 100 billion USD debts economy has this kind of civilization, go cry
View attachment 3592812View attachment 3592813