Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Pwahahaha nj ya Dar hamna mji wowote wa maana...ama nifululize picha za airport na kadhalika?ππππHaha city ziko 5 acheni ushambenga vijana, Barabara maji umeme ni story za zaman...zungumzia issue zingine
Iringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jijiumeshaambiwa Kenya standards za kuita eneo mji zipo juu sana....sio kuita magofu ya kipumbavu kama mbeya na iringa miji
Iringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jiji
pengine kwa standards za LDC wenzenu Burundiππππtungekuwa tunatumia standards zenu za ki LDC hata Thika, Isiolo, Kitale na Kisii tungeziita cities...mfano, Isiolo airport is more modern than Dar airportIringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jiji
Relax,Arusha, Mwanza, thread ziko nyingi tu kareview!!Sijaona Tanga na Mbeya. ..ukitaka kujipa kazi fine. ..but he standard zilizopo kwenye vitabu ni majiji ...Pwahahaha nj ya Dar hamna mji wowote wa maana...ama nifululize picha za airport na kadhalika?ππππ
mimi sijawahi ona city ilio na airport hali mbaya kama arusha, mwanza etc...yaani basic infrastructure hakuna mnaita cities? na hizi ndio ur second and third largest cities?shocking!!Relax,Arusha, Mwanza, thread ziko nyingi tu kareview!!Sijaona Tanga na Mbeya. ..ukitaka kujipa kazi fine. ..but he standard zilizopo kwenye vitabu ni majiji ...
mf Mbeya ni Mji wa wa kulima, Mbeya pekee inalisha mikoa mingine kumi, achilia mbali shughuli zingine as uvuvi na utalii
Hata huku Kenya kuna watanzania wengi sana wanafanya kazi katika mitaa za nairobi na bakuli mkononi kama omba omba. Iweje tena Tanzania nchi tajiri iliyo na ajira kwa wananchi inawachilia raia wake kuja kuomba pesa katika mitaa za Nairobi kwa watu wasiokuwa na ajira? Food for thought
Hujui ni kwann waliopt Kenya, ingewezekana apelekwe popote nashangaa mnavyokunyakunyawamesahau Lissu anatbiwa Nairobi...hakuna mwanasiasa ama mkenya mwenye akili zake timamu anaweza enda Tanzania kwa matibabu...
tulia baba πππ malizaneni na wachina kwanzaLeo sio bullet train tena? I thought Tanzania built a bullet train
Kingereza chenywe hamjui...nilisoma hadi chuo sikuwah funzwa na mkenya yyte,nimefanya kazi na wakenya content wise ni kawaida sana...icho kizungu mnapiganacho kelele tu bure, we ain't francophone anyway..wanafunzi wa Tanzania toka eneo za border wanasomeshwa Kenya...sababu kubwa ni mafunzo ya kiingereza
hapa huwa wanapelekwa Europe ama SA kama ni barani...huwezi ukaskia amepelekwa tanzania sababu kwanza wakenya wanaddharau sana huduma za tanzania...tunawachukulia kuwa wavivu vile na pia ujuzi adimu...mtu anaweza hata akafa hospitalini kwenu kwa sababu ya mafua tuHujui ni kwann waliopt Kenya, ingewezekana apelekwe popote nashangaa mnavyokunyakunya
mwanafunzi wa Kindergarten toka Kenya anamshinda mtanzania wa chuo kikuu we unasema nini sasa?Kingereza chenywe hamjui...nilisoma hadi chuo sikuwah funzwa na mkenya yyte,nimefanya kazi na wakenya content wise ni kawaida sana...icho kizungu mnapiganacho kelele tu bure, we ain't francophone anyway..
vipi kuhusu bullet train bro??πππ picha?tulia baba πππ malizaneni na wachina kwanza
Binafsi ata mm Kenya sijawah ichukulia serious kwa kitu chochote,even matibabu but kwa issue ya lisu just spare energy yanguhapa huwa wanapelekwa Europe ama SA kama ni barani...huwezi ukaskia amepelekwa tanzania sababu kwanza wakenya wanaddharau sana huduma za tanzania...tunawachukulia kuwa wavivu vile...mtu anaweza hata akafa hospitalini kwenu kwa sababu ya mafua tu
Yaani wewe na elimu yako sikufichi lugha ni sanaa, Naweza kua nmesoma sana lugha ikawa shida...but kindergarten atabaki kua kindergarten mpaka afuzu kua kuingia chuo kikuu...mwanafunzi wa Kindergarten toka Kenya anamshinda mtanzania wa chuo kikuu we unasema nini sasa?