stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,498
- 39,740
hela ya kununua mnayo sasa?Kuna chakula hua munatupatia bure?
Only important countries like Egypt, SA, Morocco and Kenya ndio kuna barabara za kulipia. Nyinyi na umaskini wenu hakuna mtu anataka kulipia.Inamilikiwa na nani hiyo express yenu? Hela mnampa nani?
Nairobi expressway is 27km nyinyi munaplan kujenga ya 12km ya kuishia Airport. 😂 😂 😂Express inayojengwa Dar ni ya 15.6 km ya kwenu ni 10km
aya tupe na export numbers alafu mtuambie hio GDP yenu mmeitoa wapAre you aware that our GDP is twice ya Tanzania? And what about Tanzanian economy that is currently number 13 in Africa? At least sisi tumetoka position 6 to 7, nyinyi mmetoka from position 9 to 13🤣🤣😂
Get some education kidogo kutoka kwa mkenya mwenzako:
View: https://www.tiktok.com/@thekikombe/video/7642200812378213650?is_from_webapp=1&sender_device=pc
are you aware your ythe only village growing kwenda nyuma, your the only village with negative GDP growthAre you aware that wakati wengine are rising economically Tanzania is sinking? Tanzanian economy is now position 13 in Africa 🤣🤣😂
Geza Ulole umeona video zozote za ujenzi wa lile bati?
View: https://www.youtube.com/watch?v=yqJEBeu9CqI&t=337s