Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa ndio itajengwa, economy matters
Plus tumezingirwa na nchi with big economies too si kina Burundi Rwanda Malawi etc.
Mombasa makes sense, Kenya, Uganda ,Tz and Ethiopian markets altogether.
Hata ikijengwa huko Mombasa shida iko wapi wewe nyang’au?😅
 
sasa huoni kama uko kama chizi sasa, you were supposed to have better seats so that you can laugh at us, sasa una sames seats alafu unatucheka tena
Si alituambia Arusha itakuwa folded seats? Ziko wapi sasa?🤣🤣😂

1000272789.jpg
 
sasa tatizo wewe unakua as a woman, unatakiwa utucheke kama mna good seats sasa wewe una same seats alafu kinachokuchekesha nn
Kinachonichekesha ni kwamba mtu aliwadanganya ati mtakuwa na foldable seats.

Lakini hii ndio iko ground 🤣😂😂
1000272789.jpg
 
endelea kusubiria ivo ivo totooo, tushasema its Tanga or no refinery at all for the region and ruto knows that
Hiyo pia uliambiwa na your insider mwenye alikuambia Arusha Stadium itakuwa na foldable seats?🤣🤣😂👇👇

1000272789.jpg
 
Back
Top Bottom