stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,434
- 39,653
Could be! Ila utakuwa ujinga sana.kwahiyo wafanyakazi wanaenda kukaa badala ya kufanya kazi? Kaka kubali yaishe! Usipatwe na heart attack!
😁 Nyani haoni Kundule
Walishamaliza kubadilisha seats and they are just bakuli seats😂😂🤣Young lady pitia some posts nyuma of the stadium zikiwa na seats zmebadilishwa on certain rows
Siku hizi Tanzania tunatumia rangi nyeupe?
VS
Your insider informant alikudanganya😂😂🤣👇👇👇Sasa kinachokuchekesha nn na una same ugly seats
Have you ever seen a clean construction site?😂😂🤣VS
![]()
Ila mbona kwenyu kuchafu?
Have you ever seen a clean construction site?😂😂🤣
Ebu type maoni yako hapa😂😂🤣ata hatuelewi mm nliskia wengine walisema ni temporary ila mpaka sasa tunaona uwanja nzima umepigwa bakuli
Ulitaka Goal line technology ubandikwa kwa ukuta ama? Those are final details😂😂🤣vp washaanza kuweka VAR ama Goal Line tech?
Embakasi tena? Naona ushachanganyikiwa na plastic seats 😂🤣🤣😂👇👇ebu tuonyeshe za pale embakasi, seams wana seats nzuri zaidi
Kwani kuna penye tuliwaambia grass ishamea?🤣🤣😂kumbe grass hamna ni AI!
So hapa sio Tanzania?🤣🤣😂👇👇Siku hizi Tanzania tunatumia rangi nyeupe?
sasa huoni kama uko kama chizi sasa, you were supposed to have better seats so that you can laugh at us, sasa una sames seats alafu unatucheka tena