President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Acha ubishani wa kipumbavu. Kama huna knowledge ya sheria Tafuta mjuzi akufundishe. Google, Gemini and Chatgp are there to help you.Which laws? Punguza kuropokwa Katiba ya Kenya haitambui hio upuzi ya President's portrait.
Wapi president's portrait hapo? Si unaona we ni fala.Acha ubishani wa kipumbavu. Kama huna knowledge ya sheria Tafuta mjuzi akufundishe. Google, Gemini and Chatgp are there to help you.
Ziweke hizi utajifunza na utafunga domo lako:
The National Flag, Emblems and Names Act (Sura ya 99 ya Sheria za Kenya) Kifungu cha 3
The Constitution of Kenya (2010), Ibara ya 131(1)(e)
Standing Orders / Circulars
Kenya Government Code of Regulations (Revised 2006/2014
Presidential Circular No. 1 of 2023
You are a foolAcha kunitukana kwa ujinga wako.
Soma katiba yenu na hiyo sheria nikekuwekea pia hizo order na kanuni zinataka ofisi na serikali kuwa na picha ya Rais.
Acha kujitoa ufahamu.
Mjadala umekushinda. Idiot
Ndio maana ninakuambia unasikiliza sana wanasiasa bila kusoma sheria zenu you are stupid
Katiba inatambua National Anthem, Court of Arms na Flag. Hio upuzi ya picha ya Rais haiko Kwa Katiba because president's come and go but the Kenya remains supreme. Nyinyi endeleeni kulamba suluhu haga munaweka picha zake hadi Kwa choo eti munampenda. 😂😂Ndio maana ninakuambia unasikiliza sana wanasiasa bila kusoma sheria zenu you are stupid
Nimekuwekea sheria kama msingi ili usome wewe unaniletea matamko ya wanasiasa
Twende:
Executive Order No. 1 of 2023
This is the link
PRESIDENT RUTO CREATES CLIMATE CHANGE DEPARTMENT
Executive Order No. 1 of 2023 – Organization of the Government of Kenya – DOWNLOAD President William Ruto has created a State Department for Environment and Climate Change to underline the government’s commitment to protecting Kenya from the adverse effects of global warming. The new department...www.president.go.ke
I told to get help from google Gemini or chatgpt
Wapi picha ya Rais hapo? We ni fala.
Wapi president's portrait hapo? Si unaona we ni fala.
Huwezi kutumia lugha nzuri?
Does it even need researc? arent you aware top tech companies are banned in china?You are full of it … maybe for Tanzania companies in china if any. Do a research on the United States trade policy with China and then come back to me with your educated analysis.