Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So UN siku hizi wanapangia sheria za nchi na katiba? Hiyo ni ya kwenu. Soma maelezo yangu ya kina comment #650,565 Quote comment hiyo na uache kujitia uchizi soma maelezo.
I meant to say 'under' but since wewe ni bongolala, you couldn't tell that's a typo. I clearly wrote 'un', not UN. Read to understand na utoe emotions hapa
 
Tuoneshe hiki na hizo pesa zisiwe za Central Goverment ziwe OSR. Natamani ufanye hivyo. But tunavyojua utakimbia na kujificha hutatekeleza milele
 
Did you quote me prior in that post bongolala ndio uniagize niisome?
Acha kukimbia mjadala. Tunaongelea Counties za Kenya dhidi ya Councils za Tanzania. Tanzania iliazna Devolution 1972 na kuanzisha serikali za vijiji. Nyie mmerukia juu juu na kwenda kwenye Counties. Tuambie sasa How Counties helped Kenya. Zaidi sana mlikuwa mnataka kupunguza mihemko ya tribalism hakuna zaidi ya hapo.

Tuambie kwanini mmeshindwa kwenda zaidi kwenye village level kama Tanzania? Mnajua kuwa mtachapana mapanga na nchi haitatawalika.

You will never be like Tanzania milele. Mtaendelea kupiga kelele na kujifanya kuwa mmeleta Katiba mpya wakati hata hamjaifikia Katiba ya Tanzania kwa ubora. Zaidi sana Katiba yenu imeleta mvurugano tu na kuhamasisha rushwa.
 
Did you quote me prior in that post bongolala ndio uniagize niisome?
Ukweli wa Katiba yenu huu hapa

Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
 
😁 We used to have mayors , district commissioners, provincial administrators.. etc very powerful people selected by the ruling party
The old Provincial Administration…. Enforced the KANU philosophy of the one finger salute…🤣🤣🤣…. Imagine this where Tanzania is at the moment…
 
Mtu anatupigia kelele hapa na petty things sijui eti sijui serikali ya vijiji. Yet all powers belong to Samia Suluhu. 😂 😂 😂 Bongoslum hata choo huwezi jenga bila permission ya CCM yet a fool has the audacity to compare it with Kenya where there is transfer of power, protected under the constitution.
 
The old Provincial Administration…. Enforced the KANU philosophy of the one finger salute…🤣🤣🤣…. Imagine this where Tanzania is at the moment…
We do not have kitu kama hicho. Tanzania never have same system kama Kenya. Tanzania iliaza zamani sana mambo ya devolution since 1972 ilitunga sheria ya vijiji vya ujamaa. So kila kijiji kilianza kuwa na representative wa kisiasa kwa kuchaguliwa.

NB: Nyerere was Educated person With masters in History and Economics from University of Edinburgh) nchini Scotland aliipata 1952

Huku Kenyatta akiwa hana elimu kichwani. Ujinga wa Kenyatta unawatesa wakenya mpaka leo.

Tanzania started with strong foundation but Kenya not.

Tanzania and Kenya never had related system. Usidanganye watu hapa
 
Najua unakimbia hoja zangu nikekuuliza. Tueleze how Samia anakuwa na power hiyo?
Najua huwezi kujibu swali hili utakuja na mbwembwe tu.

Kenya mmekuja na katiba ya Corruption Devolution
 
The old Provincial Administration…. Enforced the KANU philosophy of the one finger salute…🤣🤣🤣…. Imagine this where Tanzania is at the moment…
They still attend village barazas summoned by politicians pretending to listen to their plea at the grassroot level. Unapata Baba ya mtu anasomewa kama mtoto ju eti sijui hajapigia waziri mkuu makofi. 😂 😂 😂
 
Kwisha habari yako. Sasa tuletee projects za Counties from OSR.
 
Najua unakimbia hoja zangu nikekuuliza. Tueleze how Samia anakuwa na power hiyo?
Najua huwezi kujibu swali hili utakuja na mbwembwe tu.

Kenya mmekuja na katiba ya Corruption Devolution
A whole county assembly na picha ya President, eti Arusha tunakupenda. Anapendwa kwani kazi ya bwana yake ni gani? 😂 😂 Hii ni upuzi bana. Alafu unatuandikia a lot of nonsense hapa trying to justify how bongoslum kuna devolution.

View: https://www.instagram.com/p/DYSW4yIiCfl/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Ukweli wa Katiba yenu huu hapa

Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
Huwa wanapeana shift kuonesha ujinga wao.
Hivi kama kitu hawakijui si wapige kimya wasichangie chochote!
 
UK all developed country Picha of head of state zinakuwa kwenye Government office. Mbumbumbu unataka kujifanya upo na akili. Idiot

Hata Kenya, picha ya Rais (mfano William Ruto) hutundikwa katika ofisi zote za serikali.

Ujinga upo kichwani mwako na huna elimu ya protocol
 
nairobae mwaiofhawaii Nimegundua wakenya wengi hawajui kuhusu nchi yao. Wamekubali kulishwa matango pori na wanasiasa wao na kuyabeba. Nimeshangaa nairobae kutokuelewa protocol ya picha ya Rais. Hajui hata sheria ya nchi yao inataka kila ofisi ya serikali kutundika picha ya Ruto.

nairobae you are such an idiot

Pambana na hunger unazidi kuwa mpumbavu
 
Picha ya Rais tunaiona hapo juu, hio ingine ya kumpenda nikama hana bwana ndio tunaongelea, don't be foolish.
 
Kenya hakuna sheria kama hio bloody fool. Hizo ni ufala ziliisha na Moi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…