We don’t dwell on pettiness. Thank God the France Africa summit is in Kenya and not TZ . I can imagine you in particular would have by now flooded the forum with videos and photos of Airport arrival of every of the 30 Heads of States. Imagine individual 30 Heads of state …. That’s why we call you washamba …😆😆😆you should also qualify so that you can remind us
Hizo story za mark my words tumezisikia humu miaka nenfa miaka rudi. From "Talanta haitajengwa mark my words"mark my words.
Tanga ni Kijiji, Mombasa ndio Jiji. 🤣🤣I haven't been here for two days. Eti Dangote amesema nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
picha ya zamani saahii airbridges ziko tayari!
Kwa picha hii wakenya wanezituma zaidi ya 100 kama ingekuwa kwao
Nakuambia ndani ya muda mfupi Dangote mwenyewe atakuja TZ na Dalali Ruto atakuja tena haipiti miezi miwili mark my words.Bado wana maumivu ya kukosa Bomba la UG.. so wanatafuta namna yoyote ya ku force kufaidi.
Hapo Dangote akijenga Tanga ndio Kasongo aseme alikubali iwe hivyo umuhimu wake uonekane... Hapo ni kwamba Dangote akija ni mazungumzo Yana anza upya na terms mpya... Kama hataki arudi mombasa tu .
Na ile ishu ya gesi nadhani Haina haja ya kuiharakisha sana kuipeleka msa... Ila kama wanataka sana bhas ifanyike feasibility kwa gharama zao na ujenzi ifanyike kwa gharama zao.. TZ iwasaidie ku secure ardhi tu ya Bomba kupita na security. Haina haja ya kuweka pesa nyingi hapo wakati kuna maeneo mengine ya nchi yamahitaji gesi kama Liganga huko... Na pia kuna miradi mingi ya ndani ya kwetu kuliko kufinance Bomba hilo ambalo returns yake Haina multiplier effect kwenye uchumi wetu wa ndani
Ukituonesha Hospital kama hii kutoka kenya nafunga account yanguNyinyi mko mta stage . Moi University in Eldoret is building the largest hospital in Africa ( ongoing) na hata haiko Nairobi…so take your photo and raise it to the power of 10 .. (and still won’t even be close in size of new MTRH )..
Baada ya bomba la mafuta ya Uganda kupita Tanzania Kenya alikataa kuchukua alloted share yake kwenye refinery ya Uganda kwa kuzira kila mmoja alipewa 15% share UG, TZ, KE ila kenya kachomoa Tz tulilipa 15% share yetu na bado tukaiongeza mpaka 20% USD 300m hivyo kwenye refinery ya UG tuna umiliki wa 20% na tuko tayari kuongeza shareholding should the need arise.Ile siku mama anamuumbua ruto ilikuaje akatangaza yy kuhusu refinery kujengwa tanga pasipo kumshirikisha,naamini mama alishalijadili na mu7,yan ruto anataka kujifanya kama ile ni idea yake ikiwa TZ kama nchi tayari plan ya refinery ilikuwepo,binafsi napenda sana dangote kama ni kweli aendelee na huko msa au la kama Tanga basi ajenge pasipo kuwashirikisha kunyan,otherwise tutafute mwekezaji mwingine atakayejenga refinery pasipo uwepo wa kunyan
wewe kondoo subiri uone picha inavyochezwa hapa tulia hivyo hivyo na make sure ume save hii thread.Are you using cocaine or meth? Juu vitu unaongea are non existence 🤣🤣
Mloganzila hapo,kuna wagonjwa kibao kutoka ukunyan hapo,kama ilivyo taasisi ya jk na kcmc moshi
weka hapa port data on depth and berth length kama hujakimbia mwenyewe.Total will be using small ships, Dangote is planning to use Post - Panamax ships which no port in Tanzania can accommodate 😂😂🤣
Mbona unangangania Total kujenga refinery nani kasema Total anajenga refinery hapa?KItu usichokijua Total ndo ana usemi mkubwa mahali mafuta yanayosafirishwa na bomba yatakapopelekwa.I can bet you Total hana mpango wa refinery. Crude inayobaki Uganda ana plan kujisafishia mwenyewe itumike Uganda. Where does this leave the Tanga refinery?
Hawa kondoo hawaelewi hii michezo mikubwa akili kisoda.Dangote Favours Kenya’s Mombasa Over Tanzania’s Tanga for East Africa Oil Refinery
Nigerian billionaire Aliko Dangote has indicated he now favours Kenya’s Mombasa over Tanzania’s Tanga for a proposed 650,000-barrel-per-day oil refinery estimated at USD 15–17 billion, citing port depth, market size, and the need for protection against cheap fuel imports—less than three weeks after pledging to build the facility in Tanga.
MAY 11, 2026 2 MINUTE READ
After pledging to build a 650,000-barrel-per-day oil refinery at Tanzania’s port of Tanga, Nigerian billionaire Aliko Dangote has indicated he now favours Kenya’s Mombasa as the preferred location for the project, according to the Financial Times.
Dangote had committed to the Tanga refinery at the Africa We Build Summit in Nairobi on April 23, 2026, in the presence of Kenyan President William Ruto and Ugandan President Yoweri Museveni, conditional on government support.
He now leans toward Mombasa primarily because of its deeper and larger port infrastructure, and because Kenya represents a bigger market with higher fuel consumption than Tanzania.
The cost of the proposed facility remains unchanged at between USD 15 billion and USD 17 billion, with a processing capacity of 650,000 barrels per day.
For the project to proceed, he said he would require the host government to provide land, some regional financing, and protection against what he described as the dumping of cheap fuel from countries such as Russia and India, adding that no refinery in the world could survive without such protection and that if an agreement were reached, construction could begin this year.
He also left the door open for Tanzania, stating he could still build the refinery there. The final decision, he said, rests entirely with President Ruto, according to Reuters.
Industry analysts have speculated that he may be using the competing locations to negotiate a better deal from both governments.
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan, who was not present at the April 23 summit in Nairobi, subsequently stated publicly that she had not been consulted before the announcement, and told President Ruto directly that she had no prior knowledge of a plan that placed a major industrial project on Tanzanian soil.
Ruto, speaking at Tanzania’s parliament in Dodoma during a state visit, defended the announcement as part of broader regional consultations on industrialisation and the joint use of East Africa’s natural resources, according to Reuters.
Read more at: Dangote Favours Kenya's Mombasa Over Tanzania's Tanga for East Africa Oil Refinery and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Instagram
Juu moto chini moto a modern East African country ❤️