We ndio unajua kuliko Dangote, in fact most refineries in the world get their oil from ships.Pipeline kijana ndio kilakitu otherwise utakalia tuu hiyo oil hapo chini
yes the ones who understand whats going on
tupe mfano 🤣 😆 😆We ndio unajua kuliko Dangote, in fact most refineries in the world get their oil from ships.
Remember Total has no plan of refining UG oil. The same total is in Nigeria and Angola but they have never built any refinery there despite their huge oil reserve.
Just like I said, Total will always be happy to sell crude oil to their European counterparts, refine them there and resell the refined oil back to the crude owner😂😂🤣
Binafsi nisichokitaka ushirikiano na kenya,ikiwezekana wao waendelee na dangote sisi tuendelee kivyetuKaka watanzania wanaakili sana. Hizo Kelele wanazopiga ni udalali tu wa kumdalalia Dangote ili Tanzania iweze kupoteza mwelekeo iweze kumkaribisha Dangote na wakenya wapate pesa ya udalali. Hiz janja janja tunazijua.
Unadhani issue serious kama hiyo ya kujenga refinery Serikali ya Tanzania isijue uwekezaji wa Dangote mpaka Ruto atutonye!!?
1. Tanzania haijawahi kuliongelea suala hili la refinery nashangaa wao wao wakenya waseongea ongea.
2. Tanzania ipo na mipango thabiti, miradi ya kimkakati hatuwezi kushirikiana na wasaliti
3. Dangote akijenga hiyo refinery huko Kenya Source of energy atapata wapi ya kuendesha hiyo refinery? (Tanzania kuna Gas na Makaa ya mawe, kenya wapo na nini?)
Ni mtu mjinga pekee wa kuwachukulia serious wakenya. Kenya is alredy dead country sasa wanatapa tapa ili wapate public sympath
And you think they will go against their norm to built a refinery in Tanga?🤣🤣😂Yes TOTAL anayo refining Capacity yake elsewhere and huko ndio anapeleka crude oil ya UG.
Ongezea existing oil pipeline Tazama a Tanzania Zambia pipeline that can serve Malawi, Zambia, DRC, ZimbabweHim, being a businessman embodies that he can't build a refinery in Mombasa.
Kenya has nothing to offer.
In Tanzania, he will benefit with readymade infrastructures.
- Free land
- Tax incentives
- Lower taxes
- EAC, SADC markets
- Crude oil Pipelines (owned by TZ-UG)
- Port.
- Cheap electric power (Coal, gas, Hydro)
- Successful Experience working in Tanzania.
Dangote is not that STUPID.
View attachment 3586521
and yet he owns a cement factory there 😆
if not Tanga then that oil refinery wont be built at allAnd you think they will go against their norm to built a refinery in Tanga?🤣🤣😂
So that Kenyans doesn't oppose the project. Kenyans have a tendency of opposing everything initiated by the President.Why Ruto was peddling Tanga option?
We nae tumia bichwa vizuri, refinery mombasa hayo mafuta utatoa wapSo that Kenyans doesn't oppose the project. Kenyans have a tendency of opposing everything initiated by the President.
jitahidi kua na akili kama wakenya wenzakoSo that Kenyans doesn't oppose the project. Kenyans have a tendency of opposing everything initiated by the President.
So umeshinda Dangote kiakili mwenye amesema italetwa na meli?🤣🤣😂Pipeline kijana ndio kilakitu otherwise utakalia tuu hiyo oil hapo chini
Who said Total is planning or we are expecting them to build a refinery in the region?And you think they will go against their norm to built a refinery in Tanga?🤣🤣😂
From where Hormuz strait?So umeshinda Dangote kiakili mwenye amesema italetwa na meli?🤣🤣😂
Its either ijengwe Tanga ama NO refinery at all 😆 😆 , na sisi hatuwezi sign pipe ya Uganda iende mombasa! sasa utachagua mwenyewe unataka uendelee kufuata mafuta hormuz ama TangaSo umeshinda Dangote kiakili mwenye amesema italetwa na meli?🤣🤣😂