Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuambie hayo mashartiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dangote is a business and not a diplomat. His interests in terms of profits and not personal relationships.
Him, being a businessman embodies that he can't build a refinery in Mombasa.


Kenya has nothing to offer.


In Tanzania, he will benefit with readymade infrastructures.
  • Free land
  • Tax incentives
  • Lower taxes
  • EAC, SADC markets
  • Crude oil Pipelines (owned by TZ-UG)
  • Port.
  • Cheap electric power (Coal, gas, Hydro)
  • Successful Experience working in Tanzania.

Dangote is not that STUPID.

 
Yaani Dangote ajenge Refinery karibu na Al Shabab 🀣🀣🀣🀣Ujenzi wa Refinery unachukua zaidi ya miaka 10. Je, kenya inaaminika? Dangote anataka kuziingiza nchi za EA zi support jambo lake.

Yani anachezesha mchezo ili nchi za EA zianze kumtafuta na kumpigia magoti.. hiyo hatafanikiwa.. ana ujinga wake anatumia chawa Kasongo ambae hana ushawishi na haaminiki ukanda huu.
 
remember what i told you early? Hii project ngumu sana kufanyika tz, ule mkataba wa mtwara hautapita ndo maaana samia alikua shocked pale ruto alivokuja tz, hii issue iko 50/50
 
Ebu tuambie huyo mashartiπŸ˜‚πŸ˜‚

Nadhani umesoma habari yote... Kuna mambo 3 anataka kabla ya kuamua kuwekeza msa..

Ni mchezo tu huo... Target yake bado ni Tanga na Sasa kaongeza msa ili apate room kubwa ya ku negotiate incentives zake
 
Yani anachezesha mchezo ili nchi za EA zianze kumtafuta na kumpigia magoti.. hiyo hatafanikiwa.. ana ujinga wake anatumia chawa Kasongo ambae hana ushawishi na haaminiki ukanda huu.
Refinery yake ya Nigeria mafuta yake yalikataliwa kwenye soko la dunia. Juzi tu baada ya vita vya USA na Iran ndio yamekubaliwa. Uuzaji wa mafuta upo na siasa zake. Unatakiwa ucheze na wauzaji wakubwa wa mafuta duniani ndio hao wajenge refinery ndio utakuwa salama.

Investment ya projects kubwa hivyo siyo investment tu, kwamba upo na pesa but security and international politics. Hizi ni kelele tu za Ruto kuelekea kwenye uchaguzi next year. Anataka awatengeneze wakenya ili wampigie kura kuwa anataka kujenga refinery kubwa kuliko zote duniani.
 
Dangote has said crude oil will come in by ships, yani jamaa hatambui hio pipeline yenu, yeye akona haja na biashara yake inawiri, na Mombasa ndio his best option.
UG anajenga refinery yake Hoima pili ili refinery iwe profitable Dangote needs government commitment to ban fuel dumping in the market as he had done with Nigeria and he needs commitment of all EA governments on this. So UG will be fuel sufficient soon, and without Tz commitment that refinery will be dead on arrival.
 
Nadhani umesoma habari yote... Kuna mambo 3 anataka kabla ya kuamua kuwekeza msa..

Ni mchezo tu huo... Target yake bado ni Tanga na Sasa kaongeza msa ili apate room kubwa ya ku negotiate incentives zake
No, mm nliiona early! Ule mradi wa Mtwara hauwezi kupita hio refinery ikijengwa
 
Dangote mwenyewe ashaamua ni Mombasa. So why are you using a lot of energy to change his decision?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…