Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiacha na gtc towers zilizobaki hakuna jengo la 30 floors acha kujipa umuhimu. 😂😂😂 hizi ni kibao tunajenga all around Dar city.
Mnyamwezi, Westlands has more than 10 buildings over 30 floors under construction at the moment. Kuna zenye zimeisha. Take a look at these ones below zenye zimeisha

1. 1870 West, 37fl x 2
1758183557103.jpg

Emerald Springs, 30 floors x2
IMG_8842.jpeg
1000047977.jpg
IMG_0392 (1).jpeg
1000047978.jpg
 
Kwetu sio muhimu ila kenya ndio wanajipendekeza, sio mradi wa leo wala kesho.pale chekereni serikali iliitoa reli inayounganisha na Voi .
shida ya lile treni lao linatoka na moshi uko alafu linakuja kurusha moshi uku kwetu, si unamuona Teargass alikua na akili timamu zamani ila baada ya ule moshi hatuelewi kama ana gender saaaahv
 
Kwan ni ENglish huelewi ama? Turudie tena session Ya English? Madame ni kwamba floor ya mwisho ya GTC ni 158M maaana yake kile kipande cha juu sio floor ni extra structure, floor ya mwisho PSP ni 160M sjui unaelewa ashaboko?
Wewe ni wa kupuuzwa tu . Hebu nionyeshe kipande ambacho sio floor hapa
IMG_20260509_153434.jpg
IMG_20260509_154124.jpg
 
Back
Top Bottom