Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akibua wameweka siti za maana na ROOF nzuri, kuna wengine apa hmm

1777993062437.png

1777993083763.png
 
Tuseme leo hii uefa wanataka kucheza final kwenye nchi chini ya sahara, Ukitoa Mkapa na Moses Mabhida Stadium wapi kwingine wanaweza kucheza?
Makwapa watacheza kwa shamba?. Ebu tuonyeshe playing surface ya Makwapa as of today😂😂🤣
 
So
Hizo stories zenu za uongo kila mtu anazijua.

Hebu tueleze kuhusu hii:

Presidential Jets Compared - Tanzania (Gulfstream G700, Gulfstream G550, Fokker 28 & 50) vs Kenya (Fokker 70 ER, DHC-8-100)
Story zetu za uongo? Huyo jike dume wenu anaitwa Aisha Masaka, a tanzania women's national football team player akicheza dhidi ya Zimbabwe, October 2020 at Makwapa stadium, mechi ambayo mijike dume wenu walishinda 5-0 dhidi ya wasichana wa Zim.
 
Aisha Masaka huyu hapa - Anachezea Brighton & Hove Albion Uingereza. Ndio maana ninasema wakenya Ni waongo sana.

1777994596779.png

Mkenya haaminiki

Aisha Masaka huyu hapa - Anachezea Brighton & Hove Albion Uingereza. Ndio maana ninasema wakenya Ni waongo sana.

View attachment 3584226

Mkenya haaminiki

Bongolala, uliona picha niliyopost iko na rangi za Brighton and Hove Albion?
 
Aisha Masaka huyu hapa - Anachezea Brighton & Hove Albion Uingereza. Ndio maana ninasema wakenya Ni waongo sana.

View attachment 3584226

Mkenya haaminiki

Kunyan awaaminiki popote pale,ndio maana dangote ile refinery kaileta TZ
 
Back
Top Bottom