Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20260418-220108.png

Miss kisii hata bure silombi 🤮
 
Stop diverting the discussion Mr. Inside info.

Here is you saying that hakuna mwenye anatumia Marcopolo Tanzania. So Katarama ni ya Kenya ama?🤣🤣😂👇👇

View attachment 3584179
seems inside info imekuuma sana 😂 ,sasa nmekwambia onyesha marcopolo yoyote mpya umeshindwa unataka tukusaidie vp? zote unazoziona ni watu wanauziana sasa sjui unataka tukusaidie vp
 
ATI designed in Tanzania?🤣😂

The only country that is designing Marcopolo buses is Brazil. Sasa hiyo yenu mnadesign gani?🤣🤣😂

Kilimanjaro enyewe is buying their bus bodies from china then fixes them with lorries chassis from Kenya🤣😂😂
Ebu fanya ivi, show us any latest Tanzania bus that has used AVA, we are waiting
 
ATI designed in Tanzania?🤣😂

The only country that is designing Marcopolo buses is Brazil. Sasa hiyo yenu mnadesign gani?🤣🤣😂

Kilimanjaro enyewe is buying their bus bodies from china then fixes them with lorries chassis from Kenya🤣😂😂
apo vp we fala
1777991988177.png
 
2002 makwapa stadium ilikuwepo? Hautakuwa wa kwanza kutumia kigezo cha mwaka kukana picha zenu.

Does it change anything hata kama ni za 1920?
Tuseme leo hii uefa wanataka kucheza final kwenye nchi chini ya sahara, Ukitoa Mkapa na Moses Mabhida Stadium wapi kwingine wanaweza kucheza?
 
2002 makwapa stadium ilikuwepo? Hautakuwa wa kwanza kutumia kigezo cha mwaka kukana picha zenu.

Does it change anything hata kama ni za 1920?
Hizo stories zenu za uongo kila mtu anazijua.

Hebu tueleze kuhusu hii:

Presidential Jets Compared - Tanzania (Gulfstream G700, Gulfstream G550, Fokker 28 & 50) vs Kenya (Fokker 70 ER, DHC-8-100)
 
Back
Top Bottom