babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,474
- 36,144
Kwamba ili iitwe local brand inatakiwa iwe na more than migahawa 25?Local brands gani, do have any local chain with more than 25 restaurants?
Kwamba hakuna local brands?Ni kijiji, kama local brands haziko huko hata international brands haziwezi patikana.
Una moyo Sana kupigizana kelele na hiyo kilaza.Kwamba hakuna local brands?
View: https://vt.tiktok.com/ZS9uL8Y5y/
Sio maskini wa fikra kama nyinyi buana .
Leo Kila mgeni anayekuja tz anataka kula vitu chips mayai , yaan tayari tuna chakula flan hivi tumekibrand imekuwa kama ndo utambilisho wa taifa same tunavyofanya kwenye mihogo.
Hivi mgeni akija Kenya anapata utambulisho wa chakula gani? Githeri au muthokoi
Wacha nimuweke ignore list. 😂😂😂Una moyo Sana kupigizana kelele na hiyo kilaza.
Tag me if he does thisShow me any data from WB where your poverty rate is less than Kenya?
Maybe local brands from Mwanza, ushatuonyesha a coffee chain in bongoslum with 3 locations. Why is Mwanza missing. 😂 😂 😂Kwamba hakuna local brands?
Munataka kuji compare na Kenya with your 3 branches.Kwamba ili iitwe local brand inatakiwa iwe na more than migahawa 25?
Mtie ignore list anaongeaga pumba tu. Anataka lazima tunavyoendesha mambo yetu tufanane na wao, ndio ili eti miji yetu ionekane mikubwa.. sasa huo si uwehu kabisa. 😂😂😂Wacha nimuweke ignore list. 😂😂😂
Mihogo nation 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mtie ignore list anaongeaga pumba tu. Anataka lazima tunavyoendesha mambo yetu tufanane na wao, ndio ili eti miji yetu ionekane mikubwa.. sasa huo si uwehu kabisa. 😂😂😂
Mwambie Galitos is a local brand with 35 branches.Munataka kuji compare na Kenya with your 3 branches.
Mwanza enyewe I'm sure hata Cinema haina😂😂🤣Ni kijiji, kama local brands haziko huko hata international brands haziwezi patikana.
Galitos ni ya SA. But Kenya is their biggest market in East Africa and probably out of SA.
Tanzanians bado hawajui what middle class is. There's a reason there are a lot of retail and restaurant chains thrive in Kenya. Even Cj which is a Ugandan brand thrives in Kenya more than Uganda🤣🤣😂Galitos ni ya SA. But Kenya is their biggest market in East Africa and probably out of SA.
Zoea mihogo za Tanga, this subject is beyond of your little baboon knowledge. 😂 😂 😂Mtie ignore list anaongeaga pumba tu. Anataka lazima tunavyoendesha mambo yetu tufanane na wao, ndio ili eti miji yetu ionekane mikubwa.. sasa huo si uwehu kabisa. 😂😂😂
Jamaa wamekasirika Hadi wakakubaliana kukuignore🤣🤣😂🤣.Zoea mihogo za Tanga, this subject is beyond of your little baboon knowledge. 😂 😂 😂